Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakati dirisha linakariBia kufungwa wakuu wengi tunatamani tusikie tunamuona ndgu kipenzicha watz Kyle kwenye elite cup au England. Binafsi popote nitapomuona is OK Kila LA kheri
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa kweli inahuzunisha kwa kitendo TFF walichokifanya kwa timu yetu ya miguu ya taifa dhidi ya Kenya jana tarehe 4/8. Mechi hiyo ilikuwa inajulikana kabisa itachezwa lini lakini cha ajabu TFF...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tangu nimeanza kushuhudia kabumbu miaka ya 1993 mpaka leo nadiriki kusema hakuna mcheza mpira aliyejaaliwa kupiga mashuti kama Michael Ballack. Mjerumani huyu hana mpinzani kabisa, je...
2 Reactions
75 Replies
7K Views
Daima Mbele, Nyuma Mwiko.
1 Reactions
1 Replies
976 Views
jama haya mafuta ya mgando ya jero jero na dawa za meno ndo NEXT LEVEL iga UFE khaaa
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe leo ataweka jiwe la msingi uwanja wa klabu ya Simba ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam Hafla hiyo inatarajiwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa Uongozi, washabiki na wanachama wa klabu ya Yanga hawanabudi kumshukuru sana Msemaji wa timu ya Simba Haji Manara kwa kuitumia vizuri nafasi yake ya usemaji wa Simba kwa kuitangaza zaidi...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mchezo wa pili wa kufuzu michuano ya CHAN kati ya #Tanzania na #Kenya unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni katika uwanja wa Kasarani, Kenya‬ Kaimu Kocha Mkuu wa ‘#TaifaStars’ Etienne Ndayiragije...
1 Reactions
133 Replies
16K Views
Mjisikie mko nyumbani,Kenya ni ndugu zetu wa karibu sana. Tunawakaribisha na kuwapa fursa ya kujipigia Yanga. Mashabiki wenu tupo tutakuja kwa wingi kutia hamasa. Ili msivuruge amani ya nchi kwa...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Kwa umati huo pale uwanja wa Taifa kwenye Kongamano la Wananchi lihusulo Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga lazima Serikali iingilie kati kwani umati ule hautoshi kuenea hata kwa viwanja viwili kama...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Bilionea Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameingia kuidhamini klabu ya Yanga. Kampuni hiyo inatarajiwa kutangazwa Leo kwenye sherehe za kilele Cha wiki ya wananchi itakayofanyika...
7 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari za jumapili Nikiwa kama shibiki wa mpira na hasa mipira ya ulaya. Natabiri wazi kua falinal ya uefa itakua ni kati ya liverpool na man city. Tuanze na robo final. Liverpool vs Porto. Hapa...
4 Reactions
91 Replies
9K Views
Mkifungwa msianze kutafuta wachawi.. huyu sijui manager jana anasema eti wachezaji vijana ni watoto.. na leo naona wamemtoa kwenye banch kelvin John.. Huu ni upuuzi na wivu.. Kijana ana 16 mpeni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wakuu!! Nasikia Simba Mabingwa wa ligi kuu(Msimu uliopita), Wametoa wimbo wao kama wimbo wa Tanzania (Yaani Mungu ibariki). Utakaoimbwa Siku ya Simba(Simba Day) Mwenye nao atuwekee!!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kati ya timu hizi mbili za Kariakoo, Simba na Yanga, ni timu ipi imetoa jezi nzuri zaidi?
2 Reactions
75 Replies
13K Views
Habari wanamichezo!.. Timu yetu ya Chelsea tumefungiwa kusajili kwa msimu mmoja lakini kikosi kilichopo ni hatari. Yaan Super frank Lampard , ana kazi ngumu ya kupata first eleven, Pulisic ...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mlioziona Jezi mpya za Yanga SC walizozizindua leo pale Serena Hotel karibuni ili muweze kutupa utofauti wa hizo Jezi na zile ‘ Reflectors ‘ ambazo mara nyingi huwa tunaziona zikitumiwa mno na...
6 Reactions
49 Replies
10K Views
Nimefanya muamala toka mmoja ya mitandao ya simu kwenda Selcom. Kama kawaida imekuja message kwamba hela imeingia account yangu ya Selcom na salio linaonyesha imekatwa tayari. Siku zote hufanya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom