Huko mwanza hali sio shwari kwa wanajangwani. Sare dhidi pamba sio habari sana maana uwezo wa timu bado tia maji tia maji.
Hapa nazungumzia kuchangisha fedha taslimu tshs milioni 4 na ahadi za...
TANZANIA
Na Xavi Hernandez Alcantara
Tungeweza kuwafunga mapema tu Burundi hata kule kwenye penati tusingefika bila shaka lakini tushukuru kwa ushindi Ambao tumeupata kupitia mikwaju ya penalti...
Leo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo...
Anaandika Emmanuel M. Makalla mmoja kati ya wanachama wachache wa Yanga wenye akili timamu.
______
Natafuta tusi moja niwatukane viongozi wa Yanga lakini najikuta roho mtakatifu ameficha maneno...
Hivi TFF mnajielewa kweli?? Kwenye mechi inayoendelea Vs Burundi kwanini Jezi ya Mbwana samatta na Jonas Mkude zinatofautiana na wengine??
Jezi ya samatta na Mkude hazina maandishi TAnzania...
Karibuni katika kundi la live streaming na mijadala ya kimichezo, utaweza kuangalia michezo mbalimbali kupitia simu au tablet yako.Gusa link kujoin.
https://chat.whatsapp.com/CMzMtM8W7PKDiPEcxvhYnY
Nimefikiri mno cha kumwambia dogo Juma Kaseja katika maisha yake ya mpira na nimeona nimshauri astaafu kuichezea timu ya taifa hivi sasa. Ni muda muafaka kwake kufanya hivo.
Lijue Gari ghali zaidi duniani, Cristiano Ronaldo atajwa kulinunua
Hili gari, Bugatti La Voiture Noire ndilo gari ghali zaidi katika historia ya dunia, likiwa linagharimu US Dollar Milioni 18.7...
Kuelekea mchezo wa leo ambao tanzania itakipiga na kenya golikipa namba moja wa stars aishi manula karipotiwa kua majeruhi..
Kuna uzi wa mdau mmoja alileta kuwa kessy anampiga misumari kapombe...
Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.
Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi...
Kocha wa timu ya Wartford bwana Javi Gracia amefukuzwa kazi baada ya kuiongozo timu hiyo kupata alama moja kwenye ligi kuu ya England ,maarufu EPL hata hivyo uongozi wa klabu hiyo imemtangaza...
Huyu mchezaji alipokuwa Arsenal alijishebedua sana akikataa kusaini mkataba mpya ili aongezewe mpunga , Mzee Wenger hatimaye akasalimu amri na kuamua kumsalimisha kwa Bwana matamaa aitwaye Morinho...
BINGWA mara mbili wa mbio za mita 800 kwenye michezo ya Olimpiki, Caster Semenya ameanza kujiandaa kwa maisha mapya nje ya riadha baada ya kujiunga na klabu moja ya soka ya wanawake.
Mwanariadha...
MKEKA TIPS
Hii ni website na Android app niliyoitengeneza kwa dhumuni la kutoa betting tips for free, ni BURE na daima itakuwa hivyo. Nilii-publish juzi rasmi na kuanza kufanya kazi huku ikiwa...
Mchezaji Bora wa muda wote wa Africa Samuel Eto's ametangaza kutundika daluga huku akiwa na miaka 38 ,huyu jamaa pamoja na Rodaldinho walinifanya nimtoroke mchumba wangu usiku ,wakati mwingine...
Nembo ya Vodacom ina wekundu na weusi kitu kinachowapa kigugumizi wenzangu wa Yanga kuweza kuivaa kwenye jezi zao kama ilivyo eti kuepuka lile doa nyekundu kwenye nembo. Miaka iliyopita...