Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wizara ya habari na utamaduni kwa kushirikiana na TFF kupitia Bodi ya ligi Tanzania wanatakiwa kujipima kwamba bado wanastahili kusimamia michezo hasa Mpira kwa kipindi hiki na kuendelea? Weledi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Tff kabla ya yote nadhani waanze kumfikiria ndugu yetu huyu aliyeingia jijini leo baada ya safari ndefu anaishije mjini hapa na anarudi rudi je Kgm? Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa upuuzi uliofanyika leo, mashabiki tususie mechi zote za timu za taifa ili Wizara ya Michezo na TFF wawe wanaenda viwanjani wao kushangilia hizo timu. Kwa jambo lililotokea leo ni kutudharau...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Too sad. Siwezi sana kusema lakini wanasiasa mmeharibu sana kwa leo. CCM acheni kujifanya hii nchi ni mali yenu wala haitakuja kuwa mali ya wanasiasa ni mali ya Wananchi wa Tanzania. Watu...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
SIMBA na YANGA ni timu zenye historia kubwa katika mpira wetu wa Tanzania tokea kuanzishwa kwake mpaka muda huu japo yawezekana historia ya klabu hizi haiendani na maendeleo ya hizi timu kwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kiu yangu kuona uwanja wa Uhuru ukiwa na taa km ilivyo uwanja wa Mkapa, au Azam Complex.Lengo baadhi ya mechi zinazopangwa kuchezwa pale uhuru saa 8 mchana basi zichezwa usiku. Kucheza mechi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sina shaka kuwa haya maamuzi ya gemu kusogezwa mbele hayajamuliwa na waziri pekee naamini kuna baraka za mhimili uliojichimbia, Hivyo basi Unrest huwa sparked kwa njia nyingi sana leo...
0 Reactions
9 Replies
854 Views
Salaam. Kama Yanga wakiamua kudai haki yao ya pointi za mezani naona wana kila sababu ya kupata pointi tatu na magoli mawili. Hii ni kwasababu walikidhi matakwa ya kanuni inayotaka wapeleke timu...
17 Reactions
35 Replies
3K Views
Mbona hawakususa mechi zao za azam na biashara kubadilishwa muda? Waache kudanganya watu, utopolo wamekimbia kipigo cha mbwa mwizi kilichokuwa kinawasubiri leo taifa, na kwa taarifa tu, kipigo...
1 Reactions
4 Replies
689 Views
Shirikisho la soka la Dunia (FIFA) katika kanuni zake hukataza Serikali kuingilia masuala ya soka. Kwa maelezo ya TFF ni kuwa maelekezo ya kusogeza mbele mechi ya Simba na Yanga yametoka...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mechi tajwa itachezwa saa moja usiku ==== TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku...
4 Reactions
97 Replies
10K Views
Pisi kali huwa inakupa uhakika wa kuja mpaka mida ya kukaribia. Halafu dakika za mwisho kabisa inazingua bila kutoa sababu au kutoa sababu za kijinga. TFF walitupa uhakika wiki nzima mpaka leo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kariakoo Derby kupigwa leo Jumamosi ya Mei 8 2021 katika mfululizo wa michuano ya Vodacom Premier League (VPL), ambapo Mabingwa wa Nchi Mnyama Mkali Simba SC, anapepetana na Mwananchi Yanga SC...
9 Reactions
89 Replies
9K Views
Wakuu, tueleweshane kidogo! Sijashabikia mpira siku nyingi. Ila kuna maneno mapya mapya siku izi kama UTOPOLO na VYURA. Yanasemwa na kila shabiki, niulize Utopolo ni Yanga au Simba? au ni ile...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
TFF imetumia busara, imeamua kuahirisha mechi ya simba na utopolo ambayo itapangiwa siku nyingine!! Utopolo walitegemea simba ingepewa pointi 3, raha yao tu ni kwamba wamekwepa kichapo. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Hivi Mbona Haji Manara hatulii ? Naona kamaliza vyombo vyote vya Habari Anafanya pre match analysis. ..... Anachokifanya Manara Kisheria kinaitwa PREJUDICE, Yaani anatengeneza Maamuzi kabla Mchezo...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Soka letu ni la ajabu sana
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Yanga naona wanajitambua, hawataki kupelekeshwa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mpira wa bongo ni pasua kichwa sijawahi kuona. Tusubiri TFF tuone wataamua nini.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Sasa WEWE bisha!!
-1 Reactions
6 Replies
915 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…