Wakati Yanga SC wakiondoa kikosi chao, Simba SC ndio wanaingia.

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,713
2,000
Mpira wa bongo ni pasua kichwa sijawahi kuona.

Tusubiri TFF tuone wataamua nini.
E035XRRWQAIFwSC.jpg
E033c2fWEAA-jE4.jpg
E035b7kXIAQcOGs.jpg
E035HtlXoAQTcxc.jpg
E035H7wXMAYBmb6.jpg
 

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,203
2,000
Simba inatosha kuiwakilisha nchi, kucheza ligi ni formalities tu za kumpata bingwa na mwakilishi, ambaye ni Simba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom