Kwa Nini TFF Inamlea Manara Kwa Anayoyafanya Sasa?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Hivi Mbona Haji Manara hatulii ? Naona kamaliza vyombo vyote vya Habari Anafanya pre match analysis.
.....
Anachokifanya Manara Kisheria kinaitwa PREJUDICE, Yaani anatengeneza Maamuzi kabla Mchezo ili waamuzi watishike na Statement zake.
.....
Hapo naamini ndipo TFF inapolalamikiwa wanamuacha anaongea
Ila akiongea wa upande wa pili the same statement inakuwa Hoja ya Vikao. Atulie tu asubiri Game kesho iishe Ndio aongee
 
Hii mechi mwenyeji ni Simba, hivyo ni lazima apite kwenye vyombo vya habari kuwajaza watu uwanjani, wa Simba na wa Yanga, ili waipelekee Simba hela za kiingilio
 
Simba Wana wasiwasi Sana. Wasiwasi unakuja kwakua wamejigamba kupita kiasi hofu inakwenda kuathiri wachezaji na bench la ufundi, Manara anafikiri anacheza mind game kumbe anaimaliza Simba. Baada ya Simba kufungwa kesho italeta shida kubwa ndani ya Klabu.
 
Hivi Mbona Haji Manara hatulii ? Naona kamaliza vyombo vyote vya Habari Anafanya pre match analysis.
.....
Anachokifanya Manara Kisheria kinaitwa PREJUDICE, Yaani anatengeneza Maamuzi kabla Mchezo ili waamuzi watishike na Statement zake.
.....
Hapo naamini ndipo TFF inapolalamikiwa wanamuacha anaongea
Ila akiongea wa upande wa pili the same statement inakuwa Hoja ya Vikao. Atulie tu asubiri Game kesho iishe Ndio aongee
Hahahahaaaaaa

Aisee wewe umetoa hoja ya hovyo tangu jf iundwe
 
Simba Wana wasiwasi Sana. Wasiwasi unakuja kwakua wamejigamba kupita kiasi hofu inakwenda kuathiri wachezaji na bench la ufundi, Manara anafikiri anacheza mind game kumbe anaimaliza Simba. Baada ya Simba kufungwa kesho italeta shida kubwa ndani ya Klabu.
Simba kufungwa hakutakuwa na shida aisee ila Yanga kufungwa moto utawaka pale jangwani
 
Simba Wana wasiwasi Sana. Wasiwasi unakuja kwakua wamejigamba kupita kiasi hofu inakwenda kuathiri wachezaji na bench la ufundi, Manara anafikiri anacheza mind game kumbe anaimaliza Simba. Baada ya Simba kufungwa kesho italeta shida kubwa ndani ya Klabu.
Kweli ww unathibitisha ile kauli ya yule kocha wenu. MKO KAMA NYANI. "Uneducated"
 
Mimi siamini kama Antonio Nugaz na Bumbuli hawakualikwa na hivyo vyombo vya habari kama alivyoalikwa Manara ILA kwa uoga na kutojiamini kwao ndio kumewafanya wasiende.

BTW hata kama hawakualikwa, kwa nafasi zao wangeenda wasingekataliwa. Natudia, wasemaji wa Yanga ktk mechi hii hawajiamini kabisa, wamewaachia washabiki wao wajipe moyo wenyewe.

Vv
 
Hawataki kuongea kwa sababu wataiongezea match hype wakati makato yote yanaenda Msimbazi ya hii match, acha kesho wana Msimbazi tukaujaze uwanja wa Mkapa.
 
Ungejua sisi hatuna pressure ya mechi ya leo badala yake tunaangalia mashindano makubwa kwa kuwa hapa kombe tumeshalichukua

Back
Top Bottom