Baadaaa ya yanga kupigwa faini
Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule
Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho
Hivyo basi...
Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa...
Wakuu Nimekuwa Nikiona Adhabu Nyingi Za Bodi Ya Ligi Tanzania (TPBL) Ni Kama za Kukoa Timu fulani. Hivi Ni Wakati gani ambapo Team Husika Inaitwa kujitetea Mbele ya Bodi Husika Kuhusu makosa...
Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical...
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Sh3 milioni kwa makosa manne ikiwemo kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum.
Pia imetakiwa kulipa Sh850,000...
Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea...
Timu nzima walikua very humble,
Focused
Attention
Walipambana kwa namna zoote
Naamni wakibaki hivii mikia watalaumiana kila derby!!
Let's wait tar 25!!
#daima mbele...............
#sportsalelt...
Nadhani Simba bado mnaugulia kipigo. Poleni sana. Sisi tunaendelea na kufurahia na ushindi wetu dhidi yenu msimu huu.
Hilo ndilo lilikuwa lengo letu kubwa na tunashukuru tumefanikiwa sana. Hayo...
Kuelekea mchezo wa VPL ambapo Watani wa Jadi Tanzania (Kariakoo Derby) Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo ambao utapigwa Jumamosi ya July 3, 2021. Klabu ya Simba imeliomba Shirikisho la Mpira wa...
Mchezaji huyu ameonyesha kiwango cha chini kabisa cha uchezaji ambacho hakilingani kabisa na hadhi ya Simba na hasa pale anapokosa magoli ya wazi mechi baada ya mechi.
Waliofanya scouting...
Wadau wa soka husema mpira wa miguu ni science lakini hali ni tofauti kwa upande wetu huku Tanzania, ambapo matukio ya kuwapa watu millage kupitia mgongo wa soka yametamalaki na bado hakuna...
Ninasikitishwa sana na mbinu za maneno maneno kutoka club yangu ya Simba wakidhani yana msaada wowote katika ushindi.
Nimeona Kaizer chief wameanza kijihami ikiwa ni pamoja na kulalamikia...
Majira ya saa nne asubuhi Serana Hotel, klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Azam Media watakuwa na tukio kubwa
Yanga inakwenda kupiga hatua moja muhimu katika mwelekeo ambao kila mmoja alikuwa...
Mzee Mpili ametupa somo kubwa sana, ametufundisha tena, tena kwa vitendo juu ya nguvu na nafasi ya saikolojia. Kwamba hamasa ya kuinua morari, munkari na kujiamini Kwa watu wakiwa katika Hali...
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.
Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa...
Hii nchi ya Tanzania ukiamua kufa kwa stress au umasikini basi utakua umejitakia mwenyewe.
Unaweza kiutani utani tu ukawa maarufu na ukapiga pesa. Huyu anajiita Mzee Mpili eti kwa sasa ni mtu...
Mzee wangu najua unasoma uzi huu sasa hivi nakuomba kwa niaba ya mashabiki wa Simba SC utusamehe kama tulikukwaza kwasababu umetuandamana sana.
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League
Timu zilizotajwa
🇲🇦Wydad, Raja, Berkane
🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids
🇿🇦Mamelodi Sundowns...