Tukio la Kihostoria, Yanga Kumiliki Chaneli yake ya TV, Leo ni zoezi la Kutia Saini Mkataba na Azam Media

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,271
9,900
Majira ya saa nne asubuhi Serana Hotel, klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Azam Media watakuwa na tukio kubwa

Yanga inakwenda kupiga hatua moja muhimu katika mwelekeo ambao kila mmoja alikuwa akiutaka

Wananchi wanatarajiwa kuwa klabu ya kwanza nchini kumiliki chaneli yake na sio kipindi cha dakika 30! kama walivyo wengine

Hii ni hatua moja muhimu ambayo Yanga inakwenda kupiga
 
Hakika Azam wanaleta mapinduzi ya kweli kwenye soka la nchi hii.
 
Majira ya saa nne asubuhi Serana Hotel, klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Azam Media watakuwa na tukio kubwa

Yanga inakwenda kupiga hatua moja muhimu katika mwelekeo ambao kila mmoja alikuwa akiutaka

Wananchi wanatarajiwa kuwa klabu ya kwanza nchini kumiliki chaneli yake na sio kipindi cha dakika 30! kama walivyo wengine

Hii ni hatua moja muhimu ambayo Yanga inakwenda kupiga

Ko mechi pia tutakuwa tukiziangalia kupitia hio channel yao ya youtube au naomba ufafanuzi kidogo ?
 
Back
Top Bottom