"Yanga SC haiandaliwi Kiushindani Uwanjani ila kilichopungua tu sasa ni Strategy ya Kibiashara zaidi ambapo kila mwaka Timu inasajili Wachezaji wengi wa Kigeni kisha kuwatengenezea Hamasa ya...
Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba...
Nimekuwa nikifatilia vipindi mbali mbali vya habari za michezo. Wahandishi wengi wa habari za michezo wanapenda kumuhoji Mwinyi Zahera kuhusu habari za Yanga.
Zahera amehojiwa kuhusu tukio la...
Ikiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia.
Kitendo cha...
Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo....
"Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata...
Habar wa sport,
Leo yanga imetambulisha wachezaji wote, lakin mchezaji anaeliportiwa kisajiliwa na yanga, kutoka uganda kiungo aucho.imekuwaje akuwepo wakati wa utambulisho , na kama kuna sababu...
Leo wiki ya 'wananchi' imehitimishwa kwa burudani kedekede ikiwamo soka lenyewe. Vikosi vya yanga vimetinga uwanjani kupambana na vikosi pinzani, hii yote ni kunogesha shamrashamra na kudhihirisha...
Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa.
Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali.
#PoleSanaManara
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga na ninahamu ya kuona club yetu msimu huu inapata mafanikio.
Ujio wa Haji Manara katika timu yetu, bila shaka ni moja ya mikakati ya timu yetu...
Kama tunataka vilabu vyetu vya soka viendelee tuachane na hawa wasemaji wa klabu tuwe na afisa habari, kwa sababu baadhi ya hawa wasemaji wanaongelea mpaka maswala ya ufundi ambayo ni ya kocha...
Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za...
Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi...
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.
Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya...
Wanajanvi.
Sina shaka na uwezo wa Haji kwenye matumizi ya kimkakati ya Kimasoko. Ila kwa kutumia jicho la tatu ninaona kama ni kosa kubwa sana kumkaribisha huyu Mwamba pale Jangwani kwa sababu ya...
"Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali...
KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO
Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam...
Kiukweli nimeshangazwa.
Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehemu moja tu Sandalend Kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza...
Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA
Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA
Unadhani nani atakuwa wa...
Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali...