Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hili dongo lilikuja baada ya lopolopo kutoa onyo mashabiki wa utopolo wasikanyage uwanjani siku ya mechi ya kimataifa ya simba, Picha likaanza tu simba walitoa statement KUSIKITISHWA NA UROPOKAJI...
1 Reactions
4 Replies
907 Views
Simba nguvu moja, Kwa usajiri huu wa msimu wa 2021/22 nachelea kusema kikosi kitapiga pira full package (all flavors inclusive = makolokolo kama yote). Simba ile ilitupa ladha moja tuu "biriani"...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, Nauliza group iliyopo timu yetu ya Tanzania mshindi atakayeongoza ndiye anaenda kombe la Dunia moja kwa moja? Au kuna mchakato mwingine baada ya hapo? (DR Congo, Madagascar Benin na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo". Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Sina la kusema sababu aliyeandika waraka ni jamaa lialia la utopolo hata likitangazaga kwenye tv huwa linalia kabisa utopolo wakiwa wamepigwa na kina kapumbu ***************** Haji Manara Bomu...
16 Reactions
28 Replies
5K Views
Yanga kufungwa na Zanaco wachezaji kumeondoa mapema kiburi cha wachezaji na kujiona mafundi. Sasa hivi kocha ana kazi rahisi kwenye mazoezi maana wachezaji wote walishushuliwa mbele ya halaiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali. Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Naona shangwe kubwa utopoloni kuhusu Kina Mosha na Bin kleib, hivi nyie watu mshasahau kina kaburu hata hans pope na aveva walichokuwa wanafanya simba? ndicho hicho cha kina Mosha na Bin kleib...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Idiots, dunderheads,imbeciles yaani tushatoka kwenye ujinga wa lopolopo lakini kuna majinga social media yanadai mwijaku na Nugaz wawekwe team ya usemaji kwenye chama letu pendwa la simba sasa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
dah ila msomali Analiwa hela kizembe sana watu wanachukua samples zilizotumwa kwenye #simba jersey challenge tena wamechukua ile sample mbovu wanaitembeza mtandaoni, unajua haikuwaga siri...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
mwamba kamaliza mkataba wake yanga kuanzia leo Hivyo klabu inamtakia kila la heri Naona wakat wa Haji manara sasa ==== Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza kuachana na aliyekuwa Afisa...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga. Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike...
8 Reactions
62 Replies
11K Views
Hili jambo halikubaliki na likemewe kwa nguvu zote na TFF na mamlaka zingine , michezo ndio eneo pekee linalokutanisha wananchi wote na wenye itikadi tofauti , kuingiza siasa za ccm ni kuleta...
11 Reactions
39 Replies
5K Views
Najua nitashambuliwa kwasababu watanzania hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya. Kwanza nampongeza alipofika na...
63 Reactions
274 Replies
30K Views
Ukimfuatilia kwa karibu utagundua huyu ni aina ya kocha ambaye timu ya Arsenal inamhitaji, kwa sasa anafundisha timu ya Wolves.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda. Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Ki ukweli ndugu yetu huyu tunamtetea tu, lakini uwezo wake hauridhishi. Na sio mchezaji wa kwanza kutoka Genk kwenda EPL na kukutana na changamoto anazokutana nazo yeye. Kuna mtu anaitwa Kevin De...
16 Reactions
37 Replies
6K Views
Jamaa muda huu yupo live kwenye kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, anaulizwa maswali anajibu kwa majivuno na kebehi sana! Mojawapo ya swali aliulizwa, Mwandishi: watu na...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Wadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga. Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza. Kama CEO je ana report kwa Nani? Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo hii Msemaji wa Club ya Yanga Ndg. Haji Manara ali maarufu Msukule au Miss Buzza alikuwa amealikwa kwenye kipindi cha joto la asubuhi kinachaandaliwa na Gerald Hando kupitia redio EfM. Mpaka...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…