Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baadhi ya viongozi wa timu hizi kubwa hasa Simba na Yanga wamekuwa na desturi ya kutengeneza mazingira ya kuonyesha kuwa wanaonewa pale mambo yanapoanza kuwaendea kombo kwenye mashindano mbali...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Aise huyu beki kwa ninavyoona apewe muda atakuja kuwa tishio Sana , anajua Sana , mnyama hapa wanabeki aise tuache wivu kwenye ukweli. Muda utaongea.
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu! Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo. Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Anayekata ticket ni nani?Kama takwimu zinabaki kama zilivyo,ni wazi kuwa kuna upigaji mkubwa wa pesa za viingilio. Nashauri kama huna wataalam wa IT, utafute wataakamu waliobobea ili waibue...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Niambie vitu gani vya tofauti unatarajia kuviona katika mchezo huu..? Kwa timu zote mbili Suprise package..[emoji116] Inonga..Sakho..Banda..Kanoute..Duncan..Mhilu..Kibu..Mwenda..Kisubi Maingizo...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Sio kwamba Samatta hatoi mchango kwa taifa lakini mchango wake hautoshi kabisa. Kule Ulaya anaitwa Samagoal lakini Taifa stars anaitwa Samaassist. Hiki ndicho watu wasichokitaka. Mafanikio ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwanza niipongeze TFF hii ya Wallace Karia, imefanya kazi kubwa sana licha ya mapungufu yaliyojitokeza katika uongozi wake ambayo ni machache na yanatokea kutokana na uelewa finyu wa watanzania...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ngoja tuone leo wangapi mnakumbulumbu, twende kazi
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkuu wa habari wa Simba Sports Club, Haji Manara, naye amelalamika kufanyiwa undava kwa kusukumwa na mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyosso bila sababu. Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho...
6 Reactions
119 Replies
7K Views
NBC wame surrender kwa utopwinyo na kukubali kuharibu logo yao , inasikitisha sana ni vile Utopwenga hawana ga desturi ya kufikaga robo fainali ya champions league lasivyo wangejua ni lazima kuvaa...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Hivi unakodi vipi kabisa Ndege kwenda Kucheza Mechi yako ya CAF CL huku ukijitapa kabisa Kushinda na ndani ya Ndege unapandisha Waganga wa Kienyeji 60 kisha unaenda Kufungwa na kuja na sababu za...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Kumbe Haji Manarà alikuwa sahihi aĺiposema mtu ukiwa yanga unajikuta kichwani hamnazo. Yeye mwenyewe yamemkuta hayo hayo! Zilikoenda akili hata yeye mwenyewe hawezi kujua!! Utopolo sijui...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza naomba niwape pongezi wachezaji wa Azam kwa ushindi ambao wameupata leo kwa kuiondoa Simba. Simba ni level za Biashara ndo ataenda cheza nao. Sisi Wakubwa tunakutana FAINAL YA AZAM F.CUP...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo. Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake. Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni miongoni mwa magolikipa bora kuwahi kutokea Simba na Tanzania! Ikumbukwe toka zama na zama, Simba imekuwa ikipata magolikipa hodari sana, tangu enzi za akina Athumani Mambosasa, Hamisi Kinye...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya...
16 Reactions
92 Replies
10K Views
Ukipitia comments za mashabiki wa yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania huko Botswana, utafikia hitimisho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi kwenye kauli yake kuwa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…