Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tuna timu nzuri sana wana Simba ila wasiwasi wangu unakuja kwenye perfomance ya baadhi ya wachezaji kukosa mwendelezo kwa kila mechi 1. Mzamiru kacheza vizuri sana kwenye mechi ya stars lakini...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
The pre-match technical meeting for Al Ahly Tripoli v Biashara United Mara has been concluded. Biashara United, still nowhere to be found. Kick-off is 17:00 GMT. The Libyans will progress to...
1 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu, wanamsimbazi kindakindaki, kwa namna Simba inavyocheza, huku wakijichanganya kwenye eneo la viungo na kukosa maelewano, Basi tutarajie safar za mafanikio mwaka huu Ni zero bin sifuri! Kuna...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia...
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
8 Reactions
110 Replies
10K Views
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga ====== Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku...
25 Reactions
271 Replies
30K Views
Wale wana wa Msimbazi poleni sana kwa kipigo pale kwa Mkapa. Kuondoka kwa Haji Manara kweli kunaonesha kabisa kuna Nguzo moja imevunjika pale Msimbazi. Namkumbuka sana Manara mechi kama hizi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna rekodi hazivunjiki kama vile; Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969 Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Kagere ni mshambuliaj mzuri Sana tena ana uwezo wa kufunga magoli, lakini cha kushangaza hachezeshwi, benchi la ufundi likiona muda umeisha ndio wanamwingiza. Mechi ya Leo mimi naamini Kagere...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
wakuu salaam, Ukitizama profile za wachezaji wa simba utagundua simba inakikosi bora zaidi Tanzania bt why hawafanyi vizuri licha ya kupata pre-season nzuri? Kitendo cha kuudharau mchango wa...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu Sadio alikuwa Man of the Match CHAN2020 huko Comeroon. Sadio akawa Man of the Match kwa mara ya pili CHAF2020 Kisha akaipeleka Mali fainali ya CHAN2020 ikicheza na mabingwa Morroco ambapo...
20 Reactions
38 Replies
5K Views
Hahahaaah! Dah... Wikend yangu inataka iishe vizuri leo... Bado liva anifurahishe nilale Kikosi kipana... Leo kimepanuliwa palepale kwa mkapa ambapo huwa hatoki mtu! Wani wei tu shirikisho... Na...
4 Reactions
10 Replies
773 Views
Hii mechi inaanza saa ngapi. Tuambiane jamani wengine tunaishi vijijini. a.k.a shibekijijini
2 Reactions
25 Replies
20K Views
Vuguvugu la fainali ya UEFA limeendelea kushika kasi hasa kuhusu suala la kuumia kwa mchezaji wa Liverpool; Mohammed Sarah ambaye baadhi wanadai aliumizwa kwa makusudi ili kuhakikisha Real Madrid...
1 Reactions
114 Replies
13K Views
Mohamed Salah amesaini mkataba wa miaka 5 kuendelea kuitumikia klabu ya Liverpool hadi mwaka 2023 Atakuwa analipwa £200,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya klabu ya...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Inakuwaje wanajamvi! Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mashabiki wa Simba wanaongoza kwa kubadilika badilika maneno.. Manula akifanya makosa basi wote wanaimba wimbo wa Munula hafai. Mugali akifanya makosa wote wanaimba wimbo mmoja kuwa Mugalu awekwe...
3 Reactions
7 Replies
762 Views
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango...
23 Reactions
280 Replies
67K Views
Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba SC leo itakuwa na kibarua cha kumenyana na timu ya Al Merrikh kutoka nchini Sudan katika dimba la Benjamin Mkapa. Mchezo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Al Hilal...
14 Reactions
506 Replies
41K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…