Utabili, Simba itatolewa hatua ya play off confederation na haitachukua kombe ligi ya NBC

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,904
Wakuu, wanamsimbazi kindakindaki, kwa namna Simba inavyocheza, huku wakijichanganya kwenye eneo la viungo na kukosa maelewano, Basi tutarajie safar za mafanikio mwaka huu Ni zero bin sifuri!

Kuna wengi wanaamini Simba imehujumiwa na wachezaji, lakin ukwel Ni kwamba wachezaji hawakuuza match ya Jana ila ndio kiwango Cha timu iliyopo kwa Sasa!

Sasa kwa aina ya uchezaji wasimba, viungo hawana umoja, hawaeleweki, pila biriani, sambusa , kachumbali halipo Tena, Tutegemee kwa matumaini kuwa Simba ya namna hii bado itakuwa na uwakilishi wa Taifa kwa ubora ule tuliouzoea!!!?? Laah. Hasha, ilo haliwezekani!!

Bila shaka Simba hii itatupwa kwenye play off cuf confederation , lakin pia NBC premier league hawataichukua!!

Ni suala la muda tu!
 
Acha inyeshe tujue panapovuja..

Wachezaji wamekuwa mafaza... Wameridhika...

Gomes nae afungashiwe viroba, hana maajabu... Bora timu apewe Hitimana..
 
Daah! Yan inakera kinyama, kuliko uende kuangalia match za Simba Bora utumie muda huo kutafuta pesa.
 
Shida ya mpira wa bongo ushabiki maandazi unaharibu mpira. Mechi pale Botswana 🇧🇼 simba ilicheza mpira mbovu kabisa ingawa walibahatika kufunga na magoli yenyewe ni ya bahati nasibu tu wala hayakua ya kutafuta.

Basi sifa zikamiminika sana na wakajisahau. Wapinzani wao wakawasoma na wakaja kwa kujiamini sana utadhani mkapa wa kwao. Wakamaliza kazi. Hakuna alieuza mechi ni kiwango tu cha simba kilivyo.

Angalia pre season zote kapigwa, simba day, ngao ya jamii, biashara, dodoma jiji, zote kachezea. Nazo aliuza mechi? 😁 🤣
 
Shida ya mpira wa bongo ushabiki maandazi unaharibu mpira. Mechi pale Botswana simba ilicheza mpira mbovu kabisa ingawa walibahatika kufunga na magoli yenyewe ni ya bahati nasibu tu wala hayakua ya kutafuta.

Basi sifa zikamiminika sana na wakajisahau. Wapinzani wao wakawasoma na wakaja kwa kujiamini sana utadhani mkapa wa kwao. Wakamaliza kazi. Hakuna alieuza mechi ni kiwango tu cha simba kilivyo.

Angalia pre season zote kapigwa, simba day, ngao ya jamii, biashara, dodoma jiji, zote kachezea. Nazo aliuza mechi?
Umenena vyema mkuu!
Simba hicho ndo kiwango timu imeonesha msimu huu na biriani limekuwa ndimu chungu, mwaka huu Hamna kitu, labd washtuke mapema!!
 
Shida ya mpira wa bongo ushabiki maandazi unaharibu mpira. Mechi pale Botswana simba ilicheza mpira mbovu kabisa ingawa walibahatika kufunga na magoli yenyewe ni ya bahati nasibu tu wala hayakua ya kutafuta.

Basi sifa zikamiminika sana na wakajisahau. Wapinzani wao wakawasoma na wakaja kwa kujiamini sana utadhani mkapa wa kwao. Wakamaliza kazi. Hakuna alieuza mechi ni kiwango tu cha simba kilivyo.

Angalia pre season zote kapigwa, simba day, ngao ya jamii, biashara, dodoma jiji, zote kachezea. Nazo aliuza mechi?
Huu ndio ukweli mchungu ambao CHIZI VITABU hataki kuusikia
 
Shida ya mpira wa bongo ushabiki maandazi unaharibu mpira. Mechi pale Botswana simba ilicheza mpira mbovu kabisa ingawa walibahatika kufunga na magoli yenyewe ni ya bahati nasibu tu wala hayakua ya kutafuta.

Basi sifa zikamiminika sana na wakajisahau. Wapinzani wao wakawasoma na wakaja kwa kujiamini sana utadhani mkapa wa kwao. Wakamaliza kazi. Hakuna alieuza mechi ni kiwango tu cha simba kilivyo.

Angalia pre season zote kapigwa, simba day, ngao ya jamii, biashara, dodoma jiji, zote kachezea. Nazo aliuza mechi? 🤣
Ni wewe peke yako uliyeeleza ukweli tangu nisome comments za mashabiki wa Simba au wa Yanga kuhusu mechi ya Jana.
 
Wakuu, wanamsimbazi kindakindaki, kwa namna Simba inavyocheza, huku wakijichanganya kwenye eneo la viungo na kukosa maelewano, Basi tutarajie safar za mafanikio mwaka huu Ni zero bin sifuri!

Kuna wengi wanaamini Simba imehujumiwa na wachezaji, lakin ukwel Ni kwamba wachezaji hawakuuza match ya Jana ila ndio kiwango Cha timu iliyopo kwa Sasa!

Sasa kwa aina ya uchezaji wasimba, viungo hawana umoja, hawaeleweki, pila biriani, sambusa , kachumbali halipo Tena, Tutegemee kwa matumaini kuwa Simba ya namna hii bado itakuwa na uwakilishi wa Taifa kwa ubora ule tuliouzoea!!!?? Laah. Hasha, ilo haliwezekani!!

Bila shaka Simba hii itatupwa kwenye play off cuf confederation , lakin pia NBC premier league hawataichukua!!

Ni suala la muda tu!
Simba imehujumiwa na viongozi sio wachezaji

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Simba alichezea kwa Biashara na Dodoma jiji...????
Hapana huko mwisho tu hakuweza kumalizia vyema. Simba hakupoteza kwa Biashara bali walicheza kwa kiwango cha chini mno, hata mechi ya Dodoma jiji pia Simba walicheza chini ya kiwango na kupata goli moja tu pamoja na dodoma jiji kuwa Pungufu. Point ni kwamba Simba uwezo wao kwasasa upo chini mno
 
Shida ya mpira wa bongo ushabiki maandazi unaharibu mpira. Mechi pale Botswana simba ilicheza mpira mbovu kabisa ingawa walibahatika kufunga na magoli yenyewe ni ya bahati nasibu tu wala hayakua ya kutafuta.

Basi sifa zikamiminika sana na wakajisahau. Wapinzani wao wakawasoma na wakaja kwa kujiamini sana utadhani mkapa wa kwao. Wakamaliza kazi. Hakuna alieuza mechi ni kiwango tu cha simba kilivyo.

Angalia pre season zote kapigwa, simba day, ngao ya jamii, biashara, dodoma jiji, zote kachezea. Nazo aliuza mechi?
Ni kweli kabisa kule Botswana yale magoli yalikuwa ya bahati tu, siyo kwamba waliwazidi jamaa mpira
 
Acha inyeshe tujue panapovuja..

Wachezaji wamekuwa mafaza... Wameridhika...

Gomes nae afungashiwe viroba, hana maajabu... Bora timu apewe Hitimana..
Hitmana aliyefukuzwa Namungo, Mtibwa na jana alikuwa hatoi maelekezo yoyote
 
Back
Top Bottom