Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Agents wa Carlo Ancelotti [emoji634] kocha wa Everton wapo mbioni kuvunja mkataba na team hio ili Ancelotti ajiunge na mabingwa wa La Liga (2019/2020). SIO TETESI TENA : It's official Ancelotti...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya sio maneno yangu...🤓
8 Reactions
13 Replies
2K Views
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja. GSM kuona...
19 Reactions
167 Replies
57K Views
Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Alafu watu wasiongelee[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]wanaficha nini sijui
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Tukiwa tunaelekea kwenye fainali ya Uefa Champions League ya msimu huu kati ya Manchetser City Vs Chelsea FC. Tujikumbushe katika miaka 10 iliyopita ni fainali gani ilikuvutia zaidi? Mimi fainali...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Karim Benzema: Mchezaji mpira wa Ufaransa apatikana na hatia ya ulaghai kupitia kanda ya ngono. Mshambulizi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Real Madrid, Karim Benzema amepatikana na hatia ya kula...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanayanga wenzangu, Mchezaji wetu hatari na daktari wa mpira Khalid Aucho mganda huyu yuko wapi? Au ni majeruhi? Tunammiss sana fundi wetu huyu mwenye kiwango bora kabisa ambaye huezi mfananisha...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Tarehe 29 yanga mjiandae kwa kichapo kingine kutoka kwa Morrison Baada ya kesi mtawalalamikia TFF?
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi...
11 Reactions
57 Replies
7K Views
Kwa kifupi tu, sie wanasimba kwa nini tunakuwa wajinga kiasi hiki? Huyu Mohamed Dewji alinunua hisa 49%kwa bilioni 20 shilingi za kitanzania. Hadi leo hakuzilipa.Kinachoendelea ni kuchagua...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni poleni na majukumu naomba kuuliza ni kwanini nchi ya urusi inashirika UEFA Nations cup wakati ipo Asia. Naomba kuwasilisha wakuu. Sent from my SM-G955F using JamiiForums...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake
1 Reactions
50 Replies
5K Views
nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa...
14 Reactions
110 Replies
11K Views
Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu? 1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa. 2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya...
6 Reactions
65 Replies
9K Views
Back
Top Bottom