Carlo Ancelotti kuwa kocha wa Real Madrid

tc_edo

Senior Member
Apr 9, 2021
123
98
Agents wa Carlo Ancelotti kocha wa Everton wapo mbioni kuvunja mkataba na team hio ili Ancelotti ajiunge na mabingwa wa La Liga (2019/2020).


SIO TETESI TENA : It's official Ancelotti amevunja mkataba na Everton na kujiunga na Real Madrid kwa mkataba wa miaka 3.


IMG_20210601_153119.jpg
 
Back
Top Bottom