Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

KIASI kikubwa cha fedha ambacho Yanga itakivuna mwishoni mwa msimu kinaipa jeuri ya kunasa mastaa wasiopungua watatu kutoka katika timu yoyote barani Afrika na ikamudu kuwalipa mishahara na posho...
4 Reactions
47 Replies
8K Views
Hivi kweli Bodi ya Ligi ndiyo walikaa kabisa wakaona kuwa Kombe lile baya la Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC walilolitambulisha jana ndiyp litumike? Katika Maisha yangu yote ya Soka ( Mpira ) sijawahi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Huu ni mgawanyo wa hela kwanzia namba 1 hadi wa 16 ukiangalia vizuri yanga anapata 600m wakati wa mwisho anapata 10m na wapili anapata 300m je haki iko wapi kwa bingwa kupewa hela mingi hivoo? Mi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
HABARI ZA KUSIKITISHA. Kiungo mshambuliaji wa USM Alger na timu ya taifa ya Algeria 🇩🇿 B Billel Benhamouda (24) amefariki dunia kufuatia ajali ya gari. Benhamouda alicheza na kufunga katika...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanini kwetu ubunifu ni tatizo sugu?
10 Reactions
82 Replies
6K Views
Ethiopia inafundishwa na kocha wao mzarendo basi imekuwa nongwa eti na sisi tumpatie timu kocha mzarendo kwa sababu misri kafungwa na ethiopia! hii inaonesha kwa kiasi gani watu wanaopenda...
1 Reactions
0 Replies
534 Views
Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt. Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania? Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa...
11 Reactions
21 Replies
3K Views
End of discussion..kama unaangalia hii mechi saivi I think yu no waraimini!
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana Yanga SC sio Wajinga (Mangumbaru ) au Wapumbavu (Mapopoma) wampe Mtu ambaye kaanza Kuujua mpira mwaka 2019 (Injinia Hersi Said) halafu tumuache Mtu mwenye Rekodi iliyotukuka katika Medani ya...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
"Tunawataka wana Yanga SC wote wajisajili kwa huu Mfumo wa Kielektroniki ili tuwe tunswajua wale ambao watakuwa wana misbehave kwani hivi sasa ili mwana Yanga SC uwe na ruhusa ya Kutusema...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
“Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu. Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao.
0 Reactions
11 Replies
987 Views
Huyu ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana. Haijalishi anaongoza kwa kufunga magoli, ila attitude yake ni changamoto. Nakumbuka siku moja kuna mchezaji wa Simba kama vile Kanoute alifanya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiukweli kwa namna Simon Msuva anavyocheza sasa hivi, hakuna tofauti na wachezaji wengine wa ligi yetu ya NBC, tofauti na alipokuwa Wydad, Msuva hana stamina, hana confidence, hana control...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Mechi ya Timu Bora na Underdog imeisha, kilichobaki ni mashabiki vitumbua kuanza uchambuzi wao unaoegemea Ussimba na Uyanga Hoja yangu ni Moja t, nafikiri Simba huwa Ina m-underrate Muzamir Yasin...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Team mwaka huu imechukua ubingwa chini ya Msolla na inaenda kuchukua ubingwa wa Afrika ama kwa hakika anatosha kabisa kuupata Urais wa klabu bora kwa viwango vya CAF eneo la Afrika Mashariki yaani...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro. Huu sasa ni uhuni.
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki. Tutanuniana sana Mwaka huu.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wawekezaji waheshimiwe ! Kupitia kampeni za 'NANI ZAIDI', Simba kuchangia pesa kujenga uwanja, Yanga kujiandikisha kidigigitali,, Picha halisi ni aina gani ya mashabiki waliopo kwenye vilabu vya...
14 Reactions
34 Replies
3K Views
Kweli wananchi wana heshima zao Ufuatao ni Mkwanja mrefu watakaovuna wananchi baada ya kubeba ubingwa Bonus za Azam tv maudhui= Tsh 3billion Bonus ya haki ya matangazo ya Azam =Tsh. 500 milion...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…