Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nisiwachoshe wa jamvi humu, kama kichwa kinavojieleza Simba tunapigwa na kanjbhai. Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau, Sana sana Manara ataambiwa alipie...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Watu wa Soka, Taarifa iwafikie kuwa Mshambuliaji wetu Habib Haji Kyombo yuko huru kujiunga na timu yoyote baada ya kuamua kuvunja mkataba na timu yetu. Kila kitu kimeenda sawa na kupitia yeye...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Sio maneno yangu bali ni CAAMIL8 mwenyewe. “Wananchi, tumefanya usajli wa maana, tunaenda kuweka historia kuwa club ya kwanza Tanzania kuleta mchezaji kutoka ligi kuu ya Uingereza kuja kucheza...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Babu yang aliwah nambia mjukuu wangu ikitokea ghafla umekutana na Simba polini usikimbie wew mtazame machoni tu .ukimtazama mda mrefu machoni simba anatabia ya kuona aibu. hivyo ni rahisi kukuacha...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa. Na habari zao ni za uhakika. Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kujibu wa maelezo yake, Manara kasema alikosea kujibizana na Karia (pamoja na kuwa Karia ndiye aliyemuanza). Hajakiri kumtukana Karia. Mpaka sasa hayupo aliyethibitisha matusi kutoka kwa...
0 Reactions
11 Replies
987 Views
VIPAUMBELE VYANGU ENG HERSI SAID NIKIWA RAIS WA YANGA (1) MIUNDOMBINU YA KLABU (a) Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000-KAUNDA JANGWANI. (b) Marekebisho ya jengo la...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mhamasishaji wa Yanga SC amekubali makosa aliyofanya kwa Rais wa TFF Ndugu WALLACE KARIA na kusema alienda kumuomba msamaha nyumbani kwake huku wakinywa juice. Baada ya kukana hadharani kwamba...
7 Reactions
11 Replies
3K Views
Golden State Warriors imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu ya NBA 2022 ikiwa ni mara ya nne ndani ya miaka nane iliyopita. Imeifunga Boston Celtics kwa vikapu 103-90 katika mchezo wa...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Gulf FC iliishinda timu ya Koquima magoli 91-1 huku timu ya Kahunla Rangers ikiichapa Lumbebu 95-0. Timu zote mbili zilikuwa na pointi sawa (32) lakini moja ilihitaji kuzidi kila mmoja ili kupata...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Ukiwaangalia man utd ya sasa ni kama wamejikatia tamaa wanasubiria ligi ikwishe tu wajue hatima yao kama wanadondokea Jumanne&Jumatano au Alhamisi. Timu imekosa Morale kuanzia wachezaji mpaka...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Manara the greatest, the brightest, kijana mstarabu mwenye elimu yake nchi hii yaani degree mbili za south africa na china hajawahi kushindwa vita Hii ni kwa sababu ana upako wa Mungu yaani ni...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni deus kaseke mchezaji ambaye kuna wakati timu ilionekana kumuhitaj hasa ilipokuwa kwenye kipindi kigumu Je wakati sahih wa kupisha ili ipatikane changamoto mpya?
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Mimi ni mwana-Simba na nilivutiwa sana kuona Simba ikizidi kusonga kidigitali ila hii digitali yao imelala nyuma kama kawaida yetu suala la ICT linakuwa tofauti na kulizika kabisa na mifumo yao...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Msemaji wa Yanga Haji Manara ameufya kwa kuamua kujishusha baada ya kumuomba radhi Rais wa TFF Wallace Karia kuhusu jambo ambalo lilitokea Jijini Arusha wakati wa fainali la Kombe la Shirikisho la...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Haya ngoja tuone Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Benard Morrison Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…