Wengine hatujazoea kabisa unafiki, kujificha au hata tu kukaa na jambo moyoni.
Na kuna mpuuzi mmoja (nimemsahau jina) wiki hii alitutaka Watanzania (tena kwa kutufokea) kuwa watu wa Yanga SC na...
FULL TIME: Simba imeshinda kwa magoli 2-0
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza.
85' Dejan anampa pasi nzuri Sakho, shuti linatoka nje kidogo ya lango.
83' Phiri anatoka anaingi Dejan.
75' Shangwe...
Mtu anapofanya kazi vizuri apongezwe, mtu anapokosea akosolewe na kushauriwa.
Mimi na wenzangu tunampongeza Meneja Ahmed Ally na wenzake. Kwa kweli wanafanya kazi nzuri, wanatendea haki mishahara...
Nimeskiliza alichojibu MANDONGA baada ya KUPIGWA na nikagundua uyu jamaa anakipaji cha kuongea
Ikiwezekana apewe kazi ya kuwa MC wa mchezo wa ngumi au awe promoter wa masumbwi
MAJIBU YA MANDONGA...
Nafikiri sasa ni muda muafaka cha chama kinachosimamia mchezo wa ngumi kumzuia Mandonga kupanda ulingoni.
Kwanza huyu jamaa anahatarisha usalama wake, ngumi sio mchezo wa kupanda panda ulingoni...
Jamaa ndiyo wamenyanyuka wakiwa na bashasha na kujiamini at par. Wachezaji na viongozi wako na morali ya juu sana wakiongozwa na Kocha Prof. Nabi.
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia.
"Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani...
Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema.
Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni...
Wanamichezo wa hapa jukwaani nimekaa nikafikiria maajabu ya mpira wa miguu kuelekea mechi za kimataifa za wababe wa Kariakoo, yaani Simba dhidi ya De agosto na ile ya Al hilal dhidi ya Yanga...
Amani iwe nanyi.
Natumaini wachezaji na viongozi wangu wa chama langu la Wekundu wa Msimbazi wapo salama kabisa.
Bila ya kupepesa macho wala kung'ata maneno napenda niwaase wachezaji kuwa waingie...
Wakuu tunakumbushana tu kwa wema, leo inaitwa SUPER SUNDAY. [emoji3593]
(1 ) Simba vs De Agosto
Saa 10:00 Jioni
(2) Real Madrid vs Barcelona
Saa 11:15 Jioni
(3) Man city vs Liverpool
Saa 12:30...
U17 WWC 2022.
France 0-2 Tanzania 60'
====
TANZANIA imeonyesha uimara katika michuano ya Kombe la Dunia Wasichana U17 baada ya kuwachapa Ufaransa mabao 2-1 leo katika mchezo wa Kundi D Uwanja wa...
Nilisikiliza kipindi cha michezo cha Sports HQ E FM radio, walikua wanazungumza kipigo ambacho timu yetu ya akina dada walipigika na Japan.
Ndipo muongoza kipindi alimtaka mchambuzi Bin nani...
Wikiendi yangu leo kwenye kabumbu furaha ipo hapa;
~ Simba sport club #lunyas
~ Manchester United
~ Real Madrid
Furaha yako kwenye mpira unategemea kuipata wapi mwanajamii?
Nahisi kuyaamsha baadhi ya mapepo yaliyolala, tukutane kesho saa tano usiku hapa.
Ninachojua Yanga anaingia makundi, kivipi, subiri dakika 90.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki timu...
Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa : Mhe. Gekul
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17...
Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu...
Habari wakuuu.
Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu.
Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua;
Ubingwa wa Ngao ya Jamii
Kombe la Azam Sport
Ligi Kuu ya NBC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.