Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Dah, hizi fununu za kishingo zinanikera sana, huyu na Zoran walikimbia majukumu wakijua makundi ni shughuli nzito. Kishingo kafika makundi kakimbia, Zoran angekuwepo hata makundi Simba isingefika...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Mimi ni mshabiki sana wa Mayele ila ukweli husemwa, kinachombeba Mayele ni sifa tu lakini uwezo bado sana. Kama Yanga walifikia huku yeye ndiyo chanzo. Ile mechi ya kwanza angalia nafasi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Yaani kukitokea Jambo fulani baya (hasa la Kiserikali) na (Kiutawala) kwa nchi ya Tanzania utaona wanaokuja Kulijibia (kulitolea Ufafanuzi) watajibu huku wakililinganisha (weka Reference) na nchi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana. Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa...
19 Reactions
61 Replies
7K Views
🗣 “Namwambia mara kwa mara Djuma Shabani kwanza ananenepa sana amekuwa mzito, hawezi kucheza mechi ngumu kama na Al Ahly, Esperance, Wydad. Djuma hana tena speed kama atakutana na winga ana akili...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Mtangazaji Hasheem Ibwe amekuwa Kaimu Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC kuanzia leo Oktoba 18 hadi itakapotangazwa vinginevyo. #mwanaspoti #mwanaspotiupdates
0 Reactions
23 Replies
3K Views
"Swali: Safu yako ya ulinzi inaruhusu goli takribani saba, inakwenda kimataifa unatazamaje hili?" "Jibu Nabi: Nipe hongera, Sadiki wewe na rafiki yako Ibrahimu mna maswali sawa sawa, hii ni ajabu...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya draw ya leo mchana play off Kombe la Shirikisho, nimesikia maoni mengi ya wenzangu wakiitaja timu pinzani yetu kuwa ni wepesi na kwamba tutawapiga kama ngoma. Naomba tusijiamini hivyo...
0 Reactions
8 Replies
767 Views
Habari wakuu, Naimani mu wazima wa afya kabisa, na tunaendelea vyema na harakati zetu za kutafuta ridhki. Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa nini wana Jangwani (maarufu kama Utopolo au Chura)...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Msemaji wetu mpya alituaminisha tungemkomelea kipigo kizito wale Waarabu weusi wa Sudan, tukawaamini mazima, pale taifa tuka ponea chupuchupu. Sasa safari hii wasitudanganye eti wale wa Tunisia...
0 Reactions
3 Replies
550 Views
MHE. GEKUL ASHANGILIA Serengeti girls KUTINGA ROBO FAINALI N/Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Gekul ashangilia matokeo ya ushindi kwa Serengeti Girls U17 baada ya kutinga...
1 Reactions
0 Replies
687 Views
Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Hii ni Mwaka 2013 Mzee wenger alimuona Big Benz kipindi Hicho akataka kumsajili. Jana Big Benz katwaa Mpira wa Dhahabu...Huenda labda matajiri wa Arsenal wangekubali kile alichokua anakiona mzee...
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Watu wa Soka, Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls imefanikiwa kufika hatua hiyo baada ya kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Canada katika michuano inayoendelea Nchini India. Matokeo hayo ya Kundi D...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Sadio Mane apata tuzo nyingine ya Socrates kutokana na mchango wake kwa jamii. --- Sadio Mane has received France Football's inaugural Socrates Award, in recognition of his charity work in his...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Washabiki wa Simba na yanga tuna matatizo kweli, haswa hawa mamluki kama GENTAMYCINE kwa upande wetu simba, sasaivi Simba imefanya vizuri kuvuka hatua ya makundi kimataifa. Cha ajabu Hawa...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake...
7 Reactions
82 Replies
7K Views
"Al Hilal FC ilikuwa ni mfupa mgumu kwetu Yanga SC. Wachezaji wa Yanga SC wanadanganywa na igi nyepesi ya Tanzania. Yanga SC wangecheza kwa intensity kubwa kama wa Azam FC, ile Mechi ya Sudan...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…