Kama kuna timu imewaingiza mkenge Simba basi ni wale wa Angola. Baada ya kuwatoa De Agosto na kutinga makundi, Simba wameongea saana mtaani na kujiamini kupitiliza.
Msemaji wao akawavimbisha...
Mara kadhaa nimeshuhudia watoto wadogo walioambatana na wazazi au walezi wao uwanjani wakiwa katikati ya watu huku akiwa amezungukwa na ile midude wanayopuliza almaarufu kama vuvuzela.
Nilikuwa...
Sawa ni matokeo ya mpira lakini punguza hizi confidence zako. Itakugharimu pia, hutakiwi kufungwa.
Kikosi chako cha leo ni cha kisela, umetuwekea vibabu, please kipindi hiki sio cha majaribio, ni...
Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.
Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa...
Barcelona ilikuwa klabu ya kwanza katika mchezo wowote kuingiza $1bn katika mapato ya kila mwaka lakin kwa sasa ina deni karibu $ 1.4bn na hii katika miaka ya karibuni. Barcelona imekuwa katika...
Bila mbambamba most, hiyo mada ishajieleza! Leo Azam nifanyieni kitu special, ile kitu hizi jamaa zitafanyiwa huko kwenye makundi.
Nitoleeni stress ya kutokuoga wiki ya tatu sasa, bundle...
Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita...
Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa.
Hii ni maalum kuongeza...
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa.
.
Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.
.
Yanga akiwa ni...
Mwisho mwa wiki iliyopita Yanga SC walitoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye dimba la Mkapa. Matokeo hayo yameibua maneno mengi sana mitandaoni ikionekana kama vile Yanga SC...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.[emoji3516]
Mimi kama mwanachama na shabiki lia lia wa Azam FC na kwa kikosi nilichonacho kilichojaa vipaji, hakika nitasoneneka mno kwa Simba hii...
Hizi timu ni za kawaida sana. Zimekuwa zikifanya makosa mengi sana kwenye michezo yao, kinachowaokoa ni udhaifu wa wapinzani. Sitashangaa hata Yanga ikipoteza mechi hivi karibuni.
Yanga inashinda...
01' Kipute kinapulizwa uwanja wa Benjamin Mkapa.
01' Simba wanakuwa wakwanza kulifikia lango la Yanga, pasi ya mwisho inakosa tija.
03' Simba wanapata faida ya faul ya kwanza baada ya Okrah...
Leo 27.10.2022 Simba watakuwa uwanjani wakiwakabili Azam FC. Timu zote zinakutana zikiwa hazina makocha wakuu bali zikiwa na makocha wa muda.
Simba leo watakosa huduma ya Sadio Kanoute (Putin) na...
Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu...
Mimi siyo mganga wala mchawi ila naona kabisa Unbeaten blunder inaweza kuisha leo mchezo wa Yanga na vijana wa Kinondoni haitakuwa rahisi sababu;
Timu ya KMC ina wachezaji wenye uwezo wa kufanya...
Kuna 'Kijana wa Mzee Kilomoni' namuona tangu siku ya jana anajaribu kumtikisa Mnyama. Ndani ya siku 1 kafungua nyuzi zaidi ya 2 akihoji uwekezaji wa Mo katika timu bora kabisa ukanda wa Africa...
Kwa kuzingatia utendaji na michango ya wachezaji, hapa nitajaribu kutumia kipimo cha 1-10 kiwafanyia viwango wachezaji wa timu zote mbili.
Simba:
1. Aishi Manula 7.5
Alifanya kazi kubwa ya...