Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
"Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilikua mbali na tv nikasema ngoja nitumie simu kusikiliza mpira kupitia redio nawasha tbc hola kila nikijalibu nikajiuliza leo kunani kumbe wahuni wamewazuia mechi yao isitangazwe redioni ata na...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi. Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Watu kama Ahmed Ally ambae ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC huja mara moja katika maisha (once in a life time). Kutokana na uwezo mkubwa alionao Ahmed amekua akifanya kazi za...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Chini ya uongozi wa Eng Hersi sioni dalili ya Yanga ikifika hatua ya robo fainali iwe klabu bingwa wala shirikisho. Kuna tatizo kubwa sana kwanzia management, benchi la ufundi hadi wachezaji...
26 Reactions
76 Replies
5K Views
Wachambuzi wamechachamaa, wanapiga spana kila wakati. Hata wale wanaokupamba na kuopamba Yanga wamewageuka. Machawa wako kimya, wamemwacha Afisa Habari analialia peke yake. Sasa nakushauri fanya...
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Baada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari, Ni mchambuzi yupi mahiri katika uga wa mchezoo wa mpira wa miguu hii battle inamuhusisha George Ambangile kutoka Wasafi FM na Ali kamwe kutoka Azam Média
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari za mchana, Wadau, naomba kuzipata Sheria 17 za Soka mtandaoni, kuuliza si ujinga jamani. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Hii kauli hii ya wala mihogo watani zetu wameileta kama kejeli sisi tugeuze kuwa brand. Unajua kuna kauli zingine zinakuja na bahati yake, kama hii kauli ya wala mihogo naona ni kauli moja ya...
2 Reactions
1 Replies
844 Views
Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania? 😂😂😂😂
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Hawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi...
13 Reactions
151 Replies
11K Views
Kwa soka la Bongo linavyo endeshwa kwa kelele za mashabiki huyo kocha baada ya hiyo game hatoboi nakwambia. Kule Tunisia lazima Yanga achezee kichapo tena kuanzia goli 3 na kuendelea, yaani...
1 Reactions
13 Replies
800 Views
Wataalam, Niipongeze Taifa Stars kushiriki na kuonyesha uzalendo na ushindani katika michuano ya kombe la dunia ingawa kuna mapungufu mawili matatu yanayosahihishika ni hatua kubwa kwa timu na...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo. 1. Uongozi mpya Eng Hersi ana mikakati mikubwa ya kuifanya yanga itambe kimataifa na...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga. Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka...
22 Reactions
77 Replies
5K Views
Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Yanga wako nje kwa dhamana katika mechi ya kimataifa, kombe la washindi. Hukumu itakua siku ya Mechi ya marudiano nchini Tunis. Hapa Yanga watahukumiwa na kupigwa adhabu Kali. Hawapindui meza...
11 Reactions
12 Replies
1K Views
Kesho Yanga watatupa karata yao dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Kwangu hii ni mechi ngumu kuliko ile ya Al hilal. Yafuatayo ni mafungufu ambayo km kocha hajayafanyia kazi basi itakuwa ngumu...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…