Inadaiwa kocha huyo, Erik ten Hag wa Manchester United anataka kumuuza nahodha wake lakini kikwazo ni kiasi ambacho wanatakiwa kukipata kutoka sokoni
Beki huyo aliyesajiliwa kwa Paundi Milioni 80...
Habari wadau,
Nina maswali haya kuhusu usajili huu:
1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo?
2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu...
Kumekuwa na hali ya mazoea au unyonge ambao mataifa ya Afrika kuwa nayo katika mashindano ya kombe la Dunia na ni wazi huonekana fikra na mawazo yq kushindwa au kutokufanya vizuri kuanzia katika...
Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani...
Yanga wametua mchana huu kutoka Tunisia kupitia Dubai na wanatarajia kwenda Mwanza leo saa moja usiku tayari kwa mchezo wa Jumapili dhidi ya Kagera Sugar.
Wachezaji wote wamerudi isipokuwa Aziz...
Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Baadhi ya makocha na wachezaji wa zamani wamemzungumzia Messi Kwa aina tofauti:
ππ’ππ‘πππ₯ ππ°ππ§: "Sifikirii mtu yeyote anaweza kucheza mchezo wa soka kama vile Messi."
π π«ππ§π€ ππ’πππ«π²: "Messi ni...
Hongereni Simba kwa uwekezaji wa kimkakati. Kwa kufika nusu fainal Simba Queens wameingizia Simba $ 200, 000 ambazo ni karibu na zawadi ya NBC premier league champion.
Wakifika final watapata...
Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule...
Baada ya Azam FC kumalizana na Donald Ngoma na muda si mrefu wanaenda kumalizana na akina Thabani Kamusoko na Kelvin Yondani taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kwamba muda wowote Kiungo...
Matokeo ya mechi (In Aggregate) za playoff za kuwania hatua ya makundi za CAFCC katika msimu wa 2022/23 ni kama ifuatavyo:
Marumo Gallants 3-1 Al Ahli
Tripoli
CS Sfaxien 1-2 ASKO
St Eloi Lupopo...
Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4.
Matokeo yao...
Timu nzima kuanzia kwa mashabiki, viongozi na mpaka Sasa wameanza kuambikiza kwa wachezaji namna wanavyo cheza wanacheza soka ambalo halina utulivu na kuanza kugomea mechi.
Ukiongea na mashabiki...
Imekuwa wimbo na ngonjera zinazoimbwa na mashabiki wa Simba kila mara Yanga inapofanya vizuri dhidi yao au michuano ya ndani ya kwamba, Yanga haiwezi michuano ya kimataifa na wao wamewekeza uko...
Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki...
Hii ni summary ya ufanisi wa wachezaji wa Yanga katika mechi ya jana. Alana ni katika fractions za /10 . Ni mawazo huru ambayo yanaweza kupingwa na kukosolewa Kwani watazamaji hatufanani. Karibu...
Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi...