Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania ni chombo cha udhibiti wa michezo ya kubahatisha ambacho kilianzishwa chini ya Sheria ya Michezo ya Kubahatisha Sura. 41 na kuanza kutumika tarehe 1 Julai...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vikiwemo DailyMail na Reuters zinaeleza kuwa Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé yuko chini ya uangalizi maalumu baada ya matibabu ya Moyo na Mionzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni ya ubashiri ya meridian wanatengeneza mazingira ya wizi kwa wateja wao wanazuia akaunti za wateja kutoa pesa ukipiga huduma kwa wateja wanatoa sababu zisizo eleweka na kukupa masaa 24 hewa...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Kiukweli huyu dada Leo nimemuona mchovu sana kuhusu maamuzi yake, huwa najiuliza kama anafuatilia michuano ya kombe la dunia inayoendelea kule Qatar ama la. Kwanza hajui rafu ni nini, ukiangalia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ikiwa imebaki mechi moja kwa kila group kwenye fainali za kombe la dunia hali si shwari katika kikosi na kambi ya team ya taifa ya CAMEROON baada ya mlinda mlango namba moja wa nchi hiyo...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeikuta sehemu hii
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wapenzi wa mpira kalibuni kupata update ya mchezo wa NBC premier league Kati ya AZAM FC team bora bidhaa bora dhidi ya Ruvu shooting Mchezo utachezwa saa 1. Kamili usiku katika UWANJA wetu wa...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Nyota wa Brazil, Rodrygo amedai kuwa kuna uwezekano wa nahodha wa timu yake, Neymar akastaafu kuichezea timu ya taifa hilo kisha kumkabidhi yeye jezi namba 10. Neymar ambaye amefunga mabao 74...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya mtoano kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo...
9 Reactions
117 Replies
10K Views
Salaam watu wa soka, Za masiku? Naendelea kuwapatia taarifa muhimu kuhusu timu yetu ya Singida Big Stars na leo taarifa kubwa ni kuhusu uamuzi wa TFF kutufutia adhabu ya kutosajili dirisha dogo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza. Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Na kilichoniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba yaani mlimchagua Mchezaji ambaye mnajua hana Nafasi Kikosini na ambaye mnamuacha Dirisha hili Dogo lijalo ili mumvalishe hili Bomu hata kama atapewa...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
👆 Rais wa FIFA, INFATINO👇 Maachallah, hakika Qatar imeuheshimisha Uisilamu, Pindi itakapofika nusra ya Allah na ushindi, utawaona watu wakiingia katika dini ya Allah makundi kwa makundi, basi...
1 Reactions
5 Replies
666 Views
"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim...
8 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu kwema? Mimi ni mmoja wa Watanzania ninao penda mchezo wa mpira wa miguu tangu nikiwa na umri mdogo hadi sasa. Leo ninatoa maoni yangu juu ya maendeleo ya mchezo wa mpira wa miguu hapa...
0 Reactions
2 Replies
555 Views
Kama akili tu za kuliendeleza kimaendeleo bara letu la Afrika kwa utajiri wa rasilimali tulizopewa na Mwenyezi Mungu tumeshindwa je, huku katika soka (mpira wa miguu) na hasa katika michuano ya...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Nchi yetu ni kubwa sana na timu zimetawanyika sana kwenye mikoa, wilaya, tarafa, kata hata kwenye vijiji. Viwanja vyetu vingi havina dimba nzuri la kuchezea hivyo linazalisha ajali nyingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Aiseee hili litakua ni ajabu la Tisa la Dunia. Wairan washangilia timu Yao kufungwa na Marekani kwenye michuano ya kombe la Dunia, wengine waonyesha bendera ya Marekani na kuimba "Marekani, tuko...
11 Reactions
93 Replies
5K Views
Mashindano Ya kombe la Dunia Yakiwa Yanaendea Kuna Baadhi Ya matukio na Rekodi kadhaa ziliwekwa na Timu na wachezaji Binafsi.Hizi ni Baadhi Ya Rekodi katika mashindano. [emoji429]Qatar imekuwa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…