Huu ndio ukweli ulio wazi , huyu Mchezaji kwa namna alivyofanya ni kwamba haitaki Yanga , anachotaka ni hela za Azam , hata kama hakufuata utaratibu , lakini nia yake ya kuondoka Yanga iko...
Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison?
Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili...
Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga.
Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata...
Wakati Feisal akiwaaga wachezaji wenzake, mashaabiki wa Yanga, na uongozi kwa ujumla, Yanga wameibuka na madai mazito.
Habari hii hapa:
KLABU ya Yanga inapenda kuujulisha umma na Wanachama wa...
Mjadala wa sasa ni kuhusu Feisal kuondoka Yanga, huku akihusishwa kutaka kuhamia Azam FC. Sio yeye Feisal wala Azam Fc waliosema kuhusu Feisal kuhamia Azam Fc bali ni tetesi za mitandaoni za...
Kwa sasa Makolo wanafurahia haya yanayoendelea Yanga ila nawashauri wafurahie pia pale jeuei ya pesa za Azam zitapotumikia dhidi yao.
Tetesi ni zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kwenda Azam na...
Hizi habari kama ni kweli, andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu.
Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu.
Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto...
Mchezaji sio taasisi, Mchezaji ni nafsi huru, ni takwa la nafsi, ni hiyari ya nafsi na takwa la mtu binafsi, mchezaji ni mwanadamu kwa maana hiyo ana utashi binafsi, kitu pekee kinachomfanya mtu...
Kalimangonga Ongara ni mtoto wa mjini,tangu aichukue timu kuna mabadiliko nayaona.
Timu imeamua kuwa ya kihuni kama wahuni wa jangwani na msimbazi.
Azam sasa kuna viashiria vya kununua mechi...
Mwaka wa sheitwan ,hizi ni za ndaaaaaaaaaaaani sana
[emoji871]Licha ya hapo awali kuelezwa Yanga wanambakisha Dickson Job lakini taarifa zilizotufikia mchezaji huyo bado hajasaini mkataba mpya...
Nitawashangaa ndugu zangu wa utopoloni wakishindwa kumwadhibu/ kumloga huyu mchezaji kwa kitendo cha kuwafanyia umafia wakati wakielekea kwenye mchezo wao muhimu wa kufungia mwaka dhidi ya Azam...
"Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na...
Hizi tetesi zimekua nyingi mno tangu jana..lakini upande tunaousikia ni mmoja tu,sijui muhusika ana maoni gani?
Lakini kwetu sisi yanga nadhani maisha yanawezekana kabisa bila Fei
Tuombe uongozi...
Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote.
Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja...
Nimeshangazwa sana na wanazi wa Simba kufurahia sana habari za usajili wa kiungo fundi Feisal Salum kwenda Azam. Japo habari hizi bado hazijawa rasmi, ila zimepeleka furaha sana kwa hawa ndugu...
Tunachokifahamu kuhusu pamoja wa kunyongwa kwa mwanasoka Amir Nasr-Azadani wa Irani
CHANZO CHA PICHA, FIFPRO
23 Desemba 2022
Mwanasoka wa kulipwa wa Irani Amir Nasr-Azadani, 26, baada ya kulipwa...
Mnaiifanya nyie matajiri mna hela, mkimtaka mtu hamumkosi kumbe usanii mtupu, hvi tuwe wa kweli Fei Toto alipwe mshahara wa m 4 kwa mwezi halafu Morrison alambe M 19, Aziz Ki alambe 22, Mayele...
Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.
Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.
Nachukia...
Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe...
Issue ya Fei toto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi.
Jpili mchana niko nyumbani taarifa ya ajira mpya ikatoka, nikaingia mtandaoni kucheck.
Katika majina jina langu pia lilikuwemo kwa haraka...