Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

KOCHA wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho ametua Dar es Salaam leo usiku na atakuwa mazoezini asubuhi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars Ijumaa. Kocha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiangalia Ratiba ya SIMBA kwa mwezi wa pili, mwezi wa tatu na wa nne ni mwezi ambao SImba inahitaji kila mchezaj wa Simba awe imara sana. Ratiba hii kwa staili yetu hamna muda wa kujaribu tena...
2 Reactions
14 Replies
886 Views
PMBET Promo code Jaza A84 pmbetTANZANIA, Hii ni kampuni inayojihusisha na michezo ya kubeti Tanzania, ndani ya pmbet unaweza kubashiri au kubeti michezo mbalimbali, pia unaweza kucheza michezo...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
1. Madagaska 2. Gambia 3. Comoro Saivi Kibonde wetu labda Somalia tu au nasema uongo ndugu zangu?
0 Reactions
6 Replies
743 Views
Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Ona hapa Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Kitendo cha mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu kurud tena madarakani kwa miaka 4 tena kimepokewa kwa huzuni na masikitiko makubwa na wanachama wengi wa Simba, wengi hawakuridhishwa na uongozi...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa...
3 Reactions
106 Replies
11K Views
Zipo taarifa kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya kundi la Friends of Simba kuhusu viongozi waliochaguliwa, wapo waliosema wanaunga mkono viongozi anaowataka mwekezaji na wengine wanaona maslahi...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanasoka tumeteseka WanaSimba tumeteseka WanaJF tumeteseka Kila mtu ameteseka Hata wanaUto wameteseka Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba Hakuna yasiyo na mwisho...
16 Reactions
93 Replies
7K Views
Ikiwa kesho ndio tarehe ya uchaguzi mkuu wa viongozi wa klabu ya Simba, shime kwa wanachama wote wa Simba ambao wamelipia kadi zao kesho tujitokeze Kwa wingi kumchagua ndugu yetu Murtaza Mangungu...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Yanga leo wametambulisha top striker kutoka Zambia Kennedy Musonda ambaye pia ndio kinara wa magoli ligi ya Zambia. Wapinzani wetu wamesajili mshambuliaji hatari na mbadala wa Fiston...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Sasa hivi sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na waliomuweka madarakani mangungu kwani kama mangungu...
1 Reactions
9 Replies
994 Views
Watu wameanza kuwatetea Simba juu ya sintofaham ya mapato ya timu hiyo kama yalivyolipotiwa leo kwenye mkutano mkuu. Sintofaham hiyo inatokana na utofauti wa kiasi cha fedha kutoka kwa M-bet...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni Jumapili nyingine tena tunakutana katika mpambano wa kukata na shoka ambapo mabingwa watetezi wa Azam Federation Cup, Young Africans wanashuka uwanja[emoji2522] wa Benjamin Mkapa kuwakaribisha...
6 Reactions
69 Replies
6K Views
Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia...
16 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Leo Timu ya Simba SC inafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Timu kupitia wanachama na pia Nafasi ya Wajumbe watano kuingia kwenye Board. Katika wagombea wa nafasi ya Uenyekiti...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Manchester City ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko katika jiji la Manchester, Uingereza, ambayo inashiriki katika Ligi Kuu ya Uingereza. Timu ya Manchester City Ulianzishwa mwaka 1880 kama St...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ladies First ni mashindano ya riadha kwa wasichana wa Tanzania, yalianza kushindaniwa mwaka 2017 kwa hisani kwa udhamini wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA. Mashindano haya yalibuniwa na...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Murtaza Mangungu ameshinda katika Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo kwa kupata kura 1,311 akimshinda Moses Kaluwa kwa tofauti ya kura 266 huku kura 7 zikiharibika. Walioshinda nafasi ya ujumbe wa...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom