Tunamfahamu Jordan kuwa bado kijana, lakini kwa jinsi anavyo vaa, anaukaribisha uzee usio na tija.
Tazama Waziri Mkuu suti imemkaa vizuri.
Kwa kweli hili kombati la Jordan halipendezi kabisa...
Wanasema wasanii hasa wachoraji picha moja inaweza beba ujumbe mkibwa /maneno zaidi ya elfu moja.Chukua muda kujifunza kupitia picha hizi nini maanake......
Truee Story...[emoji404]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.