najua umesikia au unaelewa jinsi gari za viongozi wa juu wa serikali hususani marais zinavyokuwa na thamani kubwa kutokana na hadhi na uhitaji wa gari zenye usalama kwao. Basi mtu wangu wa nguvu...
imepigwa na chombo kijulikanacho voyager 1,picha hii imechukuliwa umbali wa km billion 4 kutoka dunia.. ndo kama inavyoonekana chakukusaidia tu ni ukiangalia vizuri kuna ka dot keupe kwenye mstari...
Habari za mchana habari za jpili wana jf wote, Kama nilivyo uliza hapo juu naomba kuju.
Chakula hiki asili yake wapi? Au ni kabila gani wanakitumia? Na kinaitwaje?