kutoka lilipo jua mpk dunia km 149... ukijumlisha hapo utapata,lkn hiyo ni kwa zamani hiki chombo sahivi kipo mbali mno kimeshavuka mfumo wa jua letu mengine ukitaka kuna uzi unaelezea.Kanaonekana kadogo mnoo.! na kutokea kwenye chombo hicho mpk lilipo hilo jua kuna distance gani? au chombo hakikuweza kupima huo umbali?
kwani nipo ndani ya dunia? au wewe upo ndani ya dunia??Yani watz bhana we unapinga hlf hata nje ya dunia hujawahi kutoka! haya mambo we jifunze tu usiegamie upande wowote! haya toa na wewe mtambo ukalete picha ya dunia
Dah hawa jamaa mbona wanatupa maswali mengi ? 6b km ni nyingi sana kwa udogo wa dunia kuonekana, angalia tu Jupiter ilivyo kubwa mara ngapi sijui ya dunia na iko 1b+ km (toka duniani) inavyoonekana ndogo..how come dunia ionekane hivyo from 6b km ? Labda kama ni Jua hapo kidogo tutaelewa !SOMA HAPO CHINI, SIO JUA NI DUNIA INAVYOONEKANA..............
The Pale Blue Dot image showing Earth from 6 billion kilometers appearing as a tiny dot (the blueish-white speck approximately halfway down the brown band to the right) within the darkness of deep space