elmagnifico JF-Expert Member Jul 7, 2011 8,261 9,732 Apr 6, 2017 #2 Ndiyo mkuu kwenye uwanja mpya wa chato
M Mabulungutu Member Oct 29, 2012 86 101 Apr 6, 2017 #5 onyx said: Zitaanza kutua mda si mrefu Click to expand... Toka Kona bar ilipofungwa ni mara chache sana kuona zikitua.....
onyx said: Zitaanza kutua mda si mrefu Click to expand... Toka Kona bar ilipofungwa ni mara chache sana kuona zikitua.....
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Apr 6, 2017 Thread starter #6 elmagnifico said: Ndiyo mkuu kwenye uwanja mpya wa chato Click to expand... Aisee hizi ni nzuri eee!!!!
elmagnifico said: Ndiyo mkuu kwenye uwanja mpya wa chato Click to expand... Aisee hizi ni nzuri eee!!!!
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Apr 6, 2017 Thread starter #7 Yahya Kimweli said: Zinatuaga mkuu...ni boeing 777 Click to expand... Ni kubwaa kweliii
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Apr 6, 2017 Thread starter #8 onyx said: Zitaanza kutua mda si mrefu Click to expand... Zina nafasi kweli ndani?
Sang'udi JF-Expert Member May 16, 2016 8,959 21,660 Apr 6, 2017 #10 Ndege ipi mkuu, naona zipo mbili. Moja inapiga picha nyingine. Ha ha haaa…
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Apr 6, 2017 Thread starter #11 Dutu J said: Ndege ipi mkuu, naona zipo mbili. Moja inapiga picha nyingine. Ha ha haaa… Click to expand... Hee hivi kuna ndege mbili ee ? Ngoja ntarejea baada ya kuangalia vizuri
Dutu J said: Ndege ipi mkuu, naona zipo mbili. Moja inapiga picha nyingine. Ha ha haaa… Click to expand... Hee hivi kuna ndege mbili ee ? Ngoja ntarejea baada ya kuangalia vizuri
sir mweli JF-Expert Member Feb 8, 2017 495 573 Apr 6, 2017 #12 Zinatua... Ila zinaishia kimboka.. J. K. Nyerere hazifik... Sjui hazilip kodi.
kibassaNyiboto JF-Expert Member May 11, 2015 309 165 Apr 6, 2017 #13 Apana mkuu azijaanza tripu za ukuu
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Apr 6, 2017 #14 Ndege Kubwa ya potugal Yafanikiwa kutua Tanzania
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Apr 6, 2017 #16 Zamani miaka ya 70 kipindi tunakuwa hizi ndege hazikuwepo ila siku hizi kila sehemu zipo
M mang'ang'a JF-Expert Member Oct 18, 2010 828 379 Apr 6, 2017 #17 mbere said: View attachment 491690 Click to expand... mi sioni ndege mboa?
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 Apr 6, 2017 #20 hahahahahh, mbere unakula kwa macho tehe tehe