Je ulishawahi kuona mdudu atembeaye? Mimi sijawahi kwakweli kwakuwa viumbe hai watembeao ni aidha wana miguu miwili ama minne.
Hizi ni baadhi ya picha za wadudu warukao na watambaao.. Kati ya...
Mimi nina hii👇
sio kwamba huyu mama ni mjinga zaidi yako, sio kwamba ni mdhaifu zaidi yako, sio kwamba hana juhudi kama wewe ni basi tu hajabahatika kama wewe.
Shukuru kwa kila jambo.
Wakati Wakenya wakiendelea kuishiikiza serikali kupunguza bei ya mafuta kwa kufanya maandamano makubwa, hivi ndivyo mchora katuni wetu Meddy Jumanne anatathimini kadhia hiyo. Wewe umeona nini...
Tumekuwa na picha nyingi zinazotutafakarisha vingi vingi, lakini tumekuwa interest zaidi na picha zenye kupendeza, kufurahisha, kuhamasisha, kujifunza na kuburudisha.
Hii itakuwa thread maalum ya...