Dah,inaonekana Mo ibrahim hana raha tena ndani ya simba ,kwa nini akae benchi huyu wakati niyonzima na mavugo wanazengua?shiiit,akienda yanga huyu tutajuta.
Pole sana Mo Ibrahim,ikibidi nenda tu...
Kuna watu kila day huko wao nikutangaza wanatoa zawadi za iPhone Wakiambatanisha na picha za cm izo.....Masharti huwa ni marahisi tu wewe niku like na kushare ujumbe hahahaaaaaaa.....Sijui...