pole kwa wafiwa wote na familia zao mungu awape ujasiri katika kipindi hiki kigumu na pia awajalie majeruhi wote waweze kupona na kujerea katika afya zao
tuungane kwa pamoja kupinga ugaidi
SAY...
Mzuqa
Yani kabisa wamepandikiza hii mbegu ya kisoro hadi kwa sisi waafrika eti dada zetu wakiwa hivi kama Naomi Campbell ndio urembo.
Yani hata mkipeleka vyombo anga za juu mwezini na mars...
Mkufunzi wa usalama, Inayat Kassam, ambaye aliwaokoa mamia ya watu waliokuwa wametekwa kwenye jengo la Westgate mwaka 2013, ameibuka kinara tena kwenye tukio la kigaidi lililotokea katika Hotel ya...
Wadau nimejikuta sina marafiki/rafiki wa mana , tofaut na enzi hizo marafiki zangu wote naona wako mbali na mm.
Nadhan mnanielewa kumanisha rafiki haswa n mtu mnae endana nae , mmeshibana wote...