Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china
Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
Wakuu & Wanabodi wa JF.
Emu nisiwachoshe.
Sina haja ya kuongea sana au kuelezea sana kuhusu hii issue, picha yenyewe tu inaongea zaidi.
Ungekua wewe unafanyaje hapa?
Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Morogoro Warda Makongwa[mbele]akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pia ni mtangaazaji nyota wa redio Times Fm ya jijini Dar, kulia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.