Wanasema simu zinagoma kuonesha picha, hata kama unatumia data mode mtandao wowote picha zinagoma kufunguka[emoji23][emoji23]
Au ndo yanataka kutokea yale ya Huaweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Cute Mena, usiwe na haraka: T@k0 litaota ukishajifungua!
Kwa hiki ulichokifanya jana ilikuwa ni kutaka kuuaminsha umma kuwa unacho kitu ambacho hauna. Haina haja ya KUJALADIA saana. Kama muoaji...