Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

salamu ndugu zangu..!? al masry kwa nilivyowaona wanacheza mchezo mzuri wa fair play. katika mchezo uliopita pengine unaweza kusema walikuwa na uhitaji wa magori mengi lakini hili nakataa...
1 Reactions
2 Replies
402 Views
Wazungu( a.k.a fallen angels bloodline) katika adventure
1 Reactions
14 Replies
865 Views
Mwamba babu tale mbunge wa morogoro kusini akitetemeka balaa nakuomba ardhi ipasuke alipokuwa akimkabidhi malaika tuzo ya bongo music award Kwa niaba ya Harmonize December 2024. Senior JF body...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Sihami TANZANIA kabisaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Hachagui habagui... Kiumbe chochote hai anachodhani ana kimudu lazima atajaribu kukimeza kwa kutumia domo lake kubwa linalotanuka kwa namna ya ajabu
3 Reactions
19 Replies
840 Views
Mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa na Waziri wa madini Anthon Mavunde katika viwanja vya bunge jijini Dodoma leo USSR
3 Reactions
5 Replies
451 Views
Hii ni moja ya picha (MJ look-alike) inayo trend sana hivi sasa mitandaon, inasemekana jamaa ni mtu kutokea Mexico, amefanana kinoma noma na The late Michael Jackson. Watu wanadai hakuna video...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Anyway, inabidi tu ni-appreciate skills zake za matangazo
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Hizi ndio "Prison Cells" za Ujerumani na Denmark.. =========== Shikamoo Wazungu..
15 Reactions
64 Replies
4K Views
Kuna watu wanapenda kuwatia moyo wenzao! Eti afisa Usafirishaji!
1 Reactions
4 Replies
653 Views
Kuna ladha na maana havipo tena.. Milele😭😭😭😭 Walivyo wa kileoπŸ˜ͺ
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Picha imepigwa kutoka upande wa Lake Tanganyika Hotel nyakati za jioni kabisa jua likielekea kuzama, mandhari nzuri kabisa ya muonekano wa ziwa Tanganyika hakika Kigoma kunapendeza sana by Kigoma...
15 Reactions
243 Replies
13K Views
Wale wenzangu mliosoma PCM baadhi yenu tena kwenye shule za vipaji na mkafanikiwa kuwa na wenzi. Vp PCM imekusaidia chochote kwenye ndoa? Au unapelekeshwa Kama boya?
15 Reactions
55 Replies
8K Views
Karibuni wakuu kufumbua hili fumbo zito.
5 Reactions
5 Replies
743 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…