Dabo rodi ya Sumbawanga, no lami no taa, yaani.. we acha tu
Roundi abouti ya mzunguko ya mpanda mjini, Rukwa
Katavi Neshno Paki, Mpanda, Mkoa wa Rukwa
Matema Beach hapa, Ufukweni mwa...
Hospitali ya Ludewa (Jimbo la Prof. Raphael Mwalyosi) !!
Akina mama ambao wanawauguza ndugu zao katika hosptali ya Wilaya ya Ludewe wakisonga Ugali nje ya wodi ya akina mama wanaosubiri...