Hapa mahala ni Inyala, karibu na pampu ya kusukuma mafuta kwenda Zambia.
Si watu wengi wanafahamu kuwa mahali hapo kuna mto ambao maji yake yanapotelea ardhini!!!!!!
Kumbe hawavumi lakini wamo, nilikuwa sijui kama Obama ana mtoto wa kiume. soma article nzima hapo chini.
Obama's 19-Year-Old Son Makes Rare Appearance At DNC | The Onion - America's Finest...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa sera ya Kilimo na Chakula toka kwa Bw. Ajay VAshee, Makamu Mwenyekiti wa asasi isiyo ya kiserikali inayohusika na sera za kilimo na...