Safi Sana JPM,
Maendeleo kila kona[emoji106]
Hii ndio Namna njema ya kuwakumbuka wazalendo wetu wanaolipigania taifa hili kwa jasho.
Atakaebisha hapa [emoji116] Atakua na lake jambo
Inakuwaje wanajamvi!
Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa...