donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Nimependa hii creativity, our own African style
Badae kidogoMi nilijua uzi wa chakula
Ndio sare mpya za shule nchini GhanaNaona mabinti wamevaa nguo za kanisani..tuma nyingine
Hahah mbona zipo mkuuHuko hamna pisi kali
IndeedClassic
Kwani hao ni pisi butu?Huko hamna pisi kali
Hahahunaweza ogopa wanawake wote kudhani ni mwanafunzi
We huko hatari alafu kwa misambwanda wadada wa huko wametufunikaHuko hamna pisi kali
Madem wao wana nnya balaaaHahah mbona zipo mkuu
Nyaya? Ndo kitu gani?