Magufuli City

Magufuli City

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,311
Reaction score
109,537
Safi Sana JPM,
Maendeleo kila kona[emoji106]

Hii ndio Namna njema ya kuwakumbuka wazalendo wetu wanaolipigania taifa hili kwa jasho.

Atakaebisha hapa [emoji116] Atakua na lake jambo
IMG_20210220_105841.jpg
 
Safi Sana JPM,
Maendeleo kila kona[emoji106]

Hii ndio Namna njema ya kuwakumbuka wazalendo wetu wanaolipigania taifa hili kwa jasho.

Atakaebisha hapa [emoji116] Atakua na lake jamboView attachment 1707106
Ni vizuri.. na ni wajibu waTanzania tupende maendeleo na utanuzi wa makazi.. fursa bado zipo nyingi nchini.. Hongereni
Mungu ongeza baraka kwetu..
 
Kwa baadhi ya wananchi ,tunaona kama hapo wameandika kijapani
 
Naomba maelezo. Je kingereza na kiswahili hapo vina maana moja.
 
Taarifa haijakamilika usipoweka eneo/mkoa husika.
 
Back
Top Bottom