Favorite photo number three: President Barack Obama meets with National Security Advisor Tom Donilon, Chief of Staff Jack Lew, and Deputy National Security Advisor Denis McDonough in the Oval...
Ng'ombe kagoma kuchinjwa kwa ajili ya harusi leo hapa MPUI Sumbawanga na kuamua kupanda juu ya paa la nyumba ya wazazi wa Bwana harusi,usiulize kapandeje kule juu, hapa ni S'wanga bwana!
<tbody>
Kuna watu wameomba niwaelekeze Temeke nilipo naomba ufuate maelekezo nyoosha na hii barabara moja kwa moja
</tbody>
<tbody>
Mbele utakuta mama lishe wanapakuwa chakula...
Kazi kweli Huyu aliye shika jembe ni mkuu Boflo na mwengine aliyeshika jembe kwa nyuma ni mkuu Mbuzi Mzee na hao wengine ni ndugu zake Mkuu boflo......................Kazi kweli jamani...