Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na picha au michoro mbalimbali ambayo wakati fulani ni vigumu sana kuelewa maana yake. Karibu na wewe uweke picha ambayo unadhani mpaka leo imekusumbua sana...
Ikiingia kwenye kundi la bongo fleva ni beat ya mganda bushbaby ft blue 3, ambayo ilitamba vilivyo enzi zake kwenye luninga za Afrika mashariki
Anayeweza pls atuwekee hapa kupitia youtube
Ifuatayo ni orodha ya walimbwende ambao kwa mtizamo wangu naamini ni warembo bora kabisa hapa nchini Tanzania.
Orodha hii ina mjumuisho wa warembo ambao ni Vipusa waliopita wa Tanzania...