WAIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Jacob Steven JB wamezua minongono baada ya kugandana kimahaba hadi wakawakera maustadhi.......
Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari...
Amenifurahisha sana huyu Mwana-habari alivyo Serious na kazi.Hadi kanyanyua visigino juu na Mdomo upo wazi kwa concentration.Hii ni jana kwenye maandamano ya wanafunzi wa IFM.