Wenzetu wameendelea sana, yaani kitoweo kabla hakijafikishwa sehemu husika kwa maandalizi kinaletwa kikiwa kimeshapata huduma ya kwanza kwakupashwa moto!
Watu wengi wamekuwa wakisikiliza Radio Maria Sauti ya Kikristo Nyumbani Mwako, kwa wakazi wa jijini Dar na hata mikoani wamekuwa hawajui Radio hii wanatangaza matangazo yake kutoka wapi. Kwa sasa...