This picture was taken by a female photographer in Yemen.
His wife has broken her own shoes along the way, while her husband gave her his own shoes while he himself walked barefoot...!!!
Thursday, May 9, 2013 | 6:48 PM
Akitetra jambo na baadhi ya watu!
Akihojiwa na mmoja wa waandishi wa habari!
Mhadhiri Maarufu wa Kiisilamu Sheikh Habibu Mazinge (suti nyeusi) akimlaki...
amini usiamini, matofali unayoyaona ni kama support ya geti la kutokea magari stendo ya daladala Ubungo, kila gari hutozwa kati ya shs 500-1000 kutegemeana na ukubwa lakini hali ya geti ndiyo...
Ukiiangalia hii picha zaidi ya kuonekana magari almaarufu Mashangingi lakini Viongozi hawa wanaonekana kama kuna jazba kati yao.
#Je unaweza ukaipa maneno picha hii??
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akionekana katika Sare zake za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Picha hii inatajwa kupigwa Mwanzoni mwa Miaka ya 80 wakati...
mimi huwa nikianza kufikiria rasilimali tulizonazo,Madini(tanzanite,gold,almasi,rubby nk),Gesi,Mbuga yani vitu vingi sanaaa.
Wakuu huwa nalia ndani kwa ndani.
Tatizo ni nini haswa????