Tahadhari:kama wewe ni mtanzania mzalendo/unaipenda nchi yako usitazama hapa

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,579
1,080
480346_368157896622597_1564280639_n.jpg
mimi huwa nikianza kufikiria rasilimali tulizonazo,Madini(tanzanite,gold,almasi,rubby nk),Gesi,Mbuga yani vitu vingi sanaaa.
Wakuu huwa nalia ndani kwa ndani.
Tatizo ni nini haswa????
 
una maana gani mkuu!!!!!! hausomeki yakhe!!!!!!!!!!

Huyu muungwana anakuonesha picha ya ndege ya Air Mauritius, nchi ndogo sana kieneo na hata kirasilimali inaweza kuwa na hiyo ndege lakini hii nchi ya kifisadi licha ya utajiri wote tulionao hatumudu hata ndege moj!!! Hiyo inayoruka ilinunuliwa na Mchina ambae nae alitaka tumpe mgodi wetu wa Almasi kwa kutulaghai na alipoona hatumpi akasepa!!!
 
Huyu muungwana anakuonesha picha ya ndege ya Air Mauritius, nchi ndogo sana kieneo na hata kirasilimali inaweza kuwa na hiyo ndege lakini hii nchi ya kifisadi licha ya utajiri wote tulionao hatumudu hata ndege moj!!! Hiyo inayoruka ilinunuliwa na Mchina ambae nae alitaka tumpe mgodi wetu wa Almasi kwa kutulaghai na alipoona hatumpi akasepa!!!

Ndege tunazo hadi wizara moja inauza ndege kwa laki tano
 
Babu Sambeke RIP, anaishinda serikali akili kwani alikuwa anamiliki dege!
 
Ama kweli hili jukwaa ndio maana likaitwa "...of Great Thinkers". Wenye hekima watakuwa wamekwisha kuelewa vizuri.
Acha kutoka mapovu kaka....Nieleweshe basi mkuu na mimi niwe Great thinker.....Mimi sijali nani anamiliki ndege nani hamiliki nazungumzia Air Tanzania iko wapi?? na hata juzi juzi wakati inasusua walikuwa wana vindege vya ajabu mnoo na zimechoka sana.Iweje nchi kama Mauritius wanakua na Boing za kutosha???
Kwa hiyo basi nchi zilizoendelea wenye makampuni makubwa ya ndege kama Ethiopia au Egypt hakuna raia mmoja mmoja wanaomiliki ndege???
 
Tz imepiga hatua zaidi watu hawataki hizo wanatumia vitu vya mwendo kasi zaidi by night.Mpango wa check in,sijui boarding pass ni kupotezeana muda tu
Safari za Ungo ni faster balaa! kufumba na kufumbua unatua ..na kufumba na kufumbua huyo...umesharejea home base! Na utajiri wa watu wa Ungo usipime... kwani licha ya ukwasi unaojidhihirisha kwa vitega uchumi, lakini Ni mwiko kwa kibopa kutanua....chakula ni makande na si pilau, biriani ama wali; Kulala ni katika jamvi, na si katika uwanja wa sita kwa sita na juu kukiwa na godoro la dodoma ama comfy....nasikia ukitaka uroda sharti utafute pori, hata km ni kutoka kwa mamsap wako uliyemrasimisha kanisani; Na ili kufikia hapo lazima utoe kafara ya kuua Mzazi wako, ama Mtoto wako!!!
 
unazungumzia shirika ambalo wakubwa wamelifilisi na kukomba kila kitu wwe unafikiri tutegemee nini si umaskini uliokithiri ona hata sasa watoto wetu watarithi nini happa tanzania kwa kizazi kijacho acha tu tunashindwa na nchi ndogo Burundi, Rwanda jamani aibuuu tuupuuu
Mimi nazungumzia Air Tanzania,,,iko wapi? inafanya nn?
 
Back
Top Bottom