AUG232013
Seven people on board a chartered TanzanAir aircraft from Bukoba town to Dar es Salaam, narrowly escaped death when it made an emergency landing in Lake Manyara, Babati...
Katika pita pita zangu huko nji nyingine , nimekuta ingalau barabara safi, hakuna mashimo, tena ni two-way-two-lane.
Nikabaki kujisikikia miye.
Naomba anayeweza kuniambia hapa ni wapi nimpe huo mji.
Kama mtu unaweza kubuni jinsi ya kupata kipato basi mama huyu anao mradi tosha wa kumuingizia kipato kwa nywele zake Rasta ndefu kiasi hiki.
Asha Mandela (47) kutoka Atlanta, Georgia...
ANUSURIKA KUFA BAADA YA GARI LAKE KUGEUKA KUWA BRAKE YA BASI LILILOACHA NJIA NA KUGONGA HAPO JANA TEMEKE SUDAN
Umati wa watu uliojitokeza ghafla baada ya ajali hiyo kutokea hapo jana maeneo ya...