Hii ni sehemu mojawapo tu ambapo naweza kupata kuku wa kienyeji, mbuzi, kashata, kalmati, chapati, sambusa n.k.. the other place is on the Nine Mile Road... Of course bado pia napata vyakula...
Natumaini kila mtanzania ameshtushwa na kifo cha mchapakazi na msomi wa sharia, Dr. Mvungi. Mazingira ya kifo chake ni yakusikitisha na yanawakilisha aina ya maisha aliyokuwa akiishi kama...