Wanaume wamekuwa Adimu, sasa Wanawake wanaweka Matangazo mitandaoni, katika pitapita kwenye mtandao nimekutana na tangazo hili.Nami namsaidia kusambaza
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema...
DIAMOND, KIBA UCHAWI MTUPU!
HALI inazidi kuwa mbaya kwa mastaa wawili wa muziki wa Bongo Fleva wanaogombea unyota kimuziki, Nasibu Abdul Diamond Platnumz na Ali Saleh Kiba, safari hii...
Said Omary Mbonde, mwaathirika wa mabomu ya Mbagala ya mwaka,2009; akionyesha hundi ya malipo ya Tshs.1950/= kutoka Benki Kuu ikiwa ni malipo ya fidia ambapo makazi yake yaliharibiwa na mabomu hayo.