Aisee vitu kama hivi mwenzenu vinanimaliza nguvu kabisa! Miguu huwa inakufa ganzi, midundo ya moyo inazidi, nashindwa kuongea! Yani walahi hapa kabla sijaombwa natoa, huwa naogopa kabisa na ndio...
Shughuli ilikuwa pevu sana jana pale TNG...
Kwa kweli tuliwafurumua wale vibaka si mchezo..
Hii picha niliipiga baada ya kuingia na kikosi cha pili cha JWTZ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.