Hivi upande wa kulia wa Mbunge Aden Rage sio kabeba bastola kweli?! Au ni matatizo ya kibovu cha mkojo?! Kama ni bastola ni kwa ajili ya kujilinda dhidi ya nani?!
Nimeshangazwa hapa pa kusema " mbwa yeyote atakayekaidi kuchanja mbwa wake.......". Tangazo hili limebandikwa Msamala Songea tena ni la serikali ya CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.